Sakata la vyeti vya ndoa vya kughushi, Serikali iingilie kati

shade

Senior Member
Oct 29, 2010
155
39
Itakuwa ni Aibu kwa Serikali makini kuacha watu wana tengeneza vyeti feki vya ndoa na kisha kuvitumia kuvunja sheria ya nchi wakati tuna Serikali sikivu na makini. Pia watu wanadiriki kuvitoa hadharani ili kuudanganya umma kuwa kila kitu ni shwari.

Kwa serikali yetu sikivu kulinyamazia swala hili itaondoa umakini ambao umeuonyesha toka mwanzo wa awamu hii ya tano. Kuna cheti ambacho kimetolewa kwenye mitandao ya kijamii kwa lengo la kudhihilishia Umma kuwa ndoa ilivyunjwa rasmi kisheria wakati sio kweli. Kwa maana muhusika anakataa kuwa hakitambui cheti hicho kwa maana hajarudi Tanzania toka alipokuja kuzika baba yake mwaka 2012 mwezi May.

Serikali sikivu tunaiomba ifuatilie jambo hili kwa umakini na kuondoa makando kando yote. Nawakilisha na cheti husika amabcho mwanaume amekitoa kwenye mitandao kama ushahidi wa Talaka yake.

1. Cheti fake

2 & 3. Ndoa ya kwanza

4 & 5. Ndoa ya pili
 
Ndugu hicho nicheti cha ndoa au talaka?
Hata hivyo mbona biharusi mrembo tu jamaa kakimbia nini!? Utulivu F au gubu!? anyway pole yako/yake sasa kama kagushi siuende mahakamani kutafuta haki yako badala ya kutaka serikali ikague vyeti vyote vya ndoa nchini mbona itakuwa kazi sasa jamani. Najua unauchungu lakini sheria zipo kaombe tu ushauri wakisheria utapata ufumbuzi
Hata hapa wadau watakupa ushauri.
 
Weka vizuri ueleweke ndugu. lakini mwanamke amekaa nje muda mrefu! alitegemea mwanaume afanye nn? awe anajichua? mwanamke mpumbavu huimboa nyumba yake mwenyewe!
 
Weka vizuri ueleweke ndugu. lakini mwanamke amekaa nje muda mrefu! alitegemea mwanaume afanye nn? awe anajichua? mwanamke mpumbavu huimboa nyumba yake mwenyewe!
Maajabu 2012 hadi 2016 anataka Ceremonial marriage au ndoa halisi!!? 4yrs kweli!!? Kwake cha muhimu ilikuwa kuja kuzika baba yake basi kisha akarudi huko lazima mlalamikaji naye anatatizo yaani hakuwa na hamu ya kurudi kwa mume wako inamaana alikuwa anachepuka? 1yr is reasonable lakini 4 mmmmh hiyo ndoa vyovyote ishakufa labda kama shida nikugawa mali.
 
Jamaa kagushi talaka ili aoe tena. Na alikuwa anaishi UK na mke wa kwanza. Sasa alikimbia ili asifukuzwe na serikali ya uingereza, maana alikuwa amempiga huyo mwanamke wa kwanza. Kilichotokea ni kuanzisha mahusiano mengine na kuoa. Ili aoe kikanisa ikabidi atengeneze talaka fafa kuonyesha kwa wachungaji. Huku akitoa tuhuma tele.
Kama kuna ushauri wowote wa kisheria unahitajika pia maana mke wa kwanza anahitaji talaka yake ya ukweli na sio hi ya kutengeza yeye peke yake. Japo yupo UK.
 
Mtaangaika sana mwaka huu, ahaaa umefungua unzi mwingine??! Huna hoja sasa kama mwanaume alikuwa na tabia ya kumpiga mkewe mnahangaika nini? Si mshukuru ameoa mke mwingine. Na kama talaka ni fake na mke mkubwa anataka talaka yake halali kelele za nini si atoe yeye(hiyo halali) endeleeni na majungu JF mwenzenu Gabby mambo yake yanamnyookea.
 
Kama talaka fake si muende mahakamani? Yaani we zoba kweli yaani matatizo yote nchi hii serikali ihangaike na vyeti vya ndoa kisa gubegub.e mwenzio kaachwa.!! Huyo bi mkubwa si aliendekeza uchangu kwenye makasino UK mpaka mwanaume akainua mikono juu.Si alikuwa anamtambia mwanaume mi mzuri hata ukiniacha leo ntaolewa! Mbona kachina kaishia kupiga kelele JF!!!! Si mulisema yeye ndio kamuacha Gabby sasa mnalia lia nini!!? We endeleza uchangu Gabby kashaoa mmeshachelewa. Mwanaume alikupa muda ujirekebishe lakini ukawa unamuona fala,anakufulia , anakupikia bado ukamuona zoba. Mpaka kaka wa watu akajiondekea kurudi Tz kwasababu yako . Mpuuzi mwanamke uliyebomoa ndoa kwa mikono yako. Go to hell.Idiotttttttttt
 
Mwanamke alipofika UK alianza dharau na kujirusha kwenye makasino na umapepe juu. Hajui cha mume, dharau kiburi vikamjaa. Analala casino anarudi aaubuhi mwanaume akavumilia akachoka.Leo anapiga kelele JF.Kama mwanaume ana makosa mbona aliita wazee analia wamuombee msamaha kwa Gabby
QUOTE="NEXTLEVEL, post: 16117345, member: 67229"]Ndugu hicho nicheti cha ndoa au talaka?
Hata hivyo mbona biharusi mrembo tu jamaa kakimbia nini!? Utulivu F au gubu!? anyway pole yako/yake sasa kama kagushi siuende mahakamani kutafuta haki yako badala ya kutaka serikali ikague vyeti vyote vya ndoa nchini mbona itakuwa kazi sasa jamani. Najua unauchungu lakini sheria zipo kaombe tu ushauri wakisheria utapata ufumbuzi
Hata hapa wadau watakupa ushauri.[/QUOTE]
 
Shade & Co, akili zenu ni za kufungia vitumbua tu. Mwanzo mulisema hajapewa talaka! Talaka imeonyweshwa mnadai ni fake!!! Sasa kama desperate ex kupe anataka talaka yake halali anaweza toa yeye hiyo halali.Alimdharau mume, ulipata mume anakuheshimu ukamuona zoba!! Sasa unalia na Jf umechelewa bidada. Ahaa alafu Gabby kaoa mtoto mchuchu msomi form 4&6 zote division one. Degree ya kwanza UDSM first class & na degree ya pili first class!!??? We ukaenda uingereza badala ya kusoma ukaenda kujifunza kuruka majoka casino unalo bidada, hata ningekuwa mimi ningeumia. Lakini tulikwambia huyu mwanaumw utakuja mkumbuka ukatuona hamnazo.
 
Ungekuwa makini usingesema haya. Mwanzo niliandika alimdanganya baba yake na ndipo mukaitoa hiyo paper fake ya talaka. Nimeiweka humu ili ikagiliwe sasa. Kwa sababu mke halali hajatoa talaka wala kupewa talaka. Lakini huyo jamaa yako anayo talaka. Ambayo ameitengeneza hapa mjini Bongo Dar es Salaam.
Halafu unatumia nguvu nyingi kuleta madai ya kasino wakati unajua jamaa yako alikimbia nini huko UK.
Ukweli utabaki pale pale pale.
 
Mods ameitoa ya kwanza jana usiku.
Wewe mi sikuelewi shida yako ni nini? Unadai mke mkubwa hamtaki Gabby sasa mnacholialia nini? Mimi kama mwanaume simtaki si naachana naye wala sishughiliki na maisha yake!!! Kwanza hapo ndio angefurahi ili apate sababu ya yeye kuolewa(muujiza wa Musa jangwani) tena. Kupiga kelele huku inaonyesha bado anamtaka mwanaume which is too late!!! Hoja yako mwanzo ulitaka kumchafua mchungaji lakini ukashindwa kuweka post yako vizuri. Kama hiyo talaka ni fake si huyo mke mkubwa atoe yeye halali .Mi nawapa ushauri wa bure lakini akili zenu ni matope sijui kama mtaelewa , we ex desperate wife yaani just move on, LET IT GO its over kelele hazitakusaidia wala kubadili mawazo ya Gabby. Kama kanisa litaona wamekiuka kanuni za kanisa watafutwa ushirika then watabaatizwa tena hakuna shida na meza ya BWANA wataendelea kula. Amina.
 
Naombeni kama kuna mtu anakumbuka qimbo huu uliimbwa nani nataka nikatafute cd yake" Kifo cha penzi ni kifo kibaya husikiombee kifo cha penzi ohooo ohoo ......."
 
Muda wa walokuwa wanakaa peponi hapa TZ umeisha. Usifikiri hatafuatiliwa huyo Gabby unayesema amekwisha oa. Kwa sasa JF ndio kioo cha jamii. Uwazi na Ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…