VunjaMfupa
Senior Member
- Feb 7, 2014
- 122
- 78
OilcomunicationWatamfukuza mkurugenzi wa vipimo ...damu ya kunguni !!!!!! lazima Mbuzi wa Kafara awepo .......,Ila hizi in deal za mtangulizi ...an makampuni Fulani Fulani ha mafuta
Nakuunga mkono kiongozi 100%Mkuu anafanya kazi baada ya kupata ushauri wa kitaalamu namna ya kuvuruga mirija ya wakubwa bila kutikisa nchi. Haya mambo si ya mchezo mchezo kesho unaamka unamkamata Mkwere alafu biashara inafia hapo. Tuache spinning za ajabu kama kweli tunaipenda Tanzania. Tuunge mkono hizi juhudi badala ya hii tabia ya kuombeana mtu ashindwe tu alafu unajifanya mzalendo.
Ninatamani sana kukuunga mkono, ila kwa CCM na nchi hii...naomba nisitabiri jambo...nitaongea pale litakapotokea.Mkuu anafanya kazi baada ya kupata ushauri wa kitaalamu namna ya kuvuruga mirija ya wakubwa bila kutikisa nchi. Haya mambo si ya mchezo mchezo kesho unaamka unamkamata Mkwere alafu biashara inafia hapo. Tuache spinning za ajabu kama kweli tunaipenda Tanzania. Tuunge mkono hizi juhudi badala ya hii tabia ya kuombeana mtu ashindwe tu alafu unajifanya mzalendo.
Waziri mkuu alimuuliza swali huyo meneja WAM kwamba ni kwanini mashine hizo zinafanya kazi leo baada ya kusimama kwa miaka mitano ,yule mama akajibu kwamba alipata maagizo kutoka ngazi za juu ,PM akamuuliza hizo ngazi za juu ni zipi ,Menaja akamjibu akamwambia Ni Prof Sospeter Muhongo ,PM akauliza ni utaratibu upi uliotumika kutoa hayo maagizo sijui alimjibu SMS
PROF MUHONGO anatakiwa atoe maelezo yasiyo na shaka kwanini alimtumia huyo mama SMS moja kwanza sio utaratibu wa utendaji serikalini pili kwanini atume SMS baada ya kujua Waziri Mkuu anatembelea WAM ??
VINGINEVYO MUHONGO NA HUYU MAMA WOTE NI WAKUWAJIBISHWA
Mkuu anafanya kazi baada ya kupata ushauri wa kitaalamu namna ya kuvuruga mirija ya wakubwa bila kutikisa nchi. Haya mambo si ya mchezo mchezo kesho unaamka unamkamata Mkwere alafu biashara inafia hapo. Tuache spinning za ajabu kama kweli tunaipenda Tanzania. Tuunge mkono hizi juhudi badala ya hii tabia ya kuombeana mtu ashindwe tu alafu unajifanya mzalendo.