Mzozo wa makinia wa dhahabu umeanza tangu 3rd March na mpaka sasa hakuna mwafaka. Mzozo huu sio juu ya namna gani ya kuyachimba makinia bali ni uwepo wa kiwanda au kutokuwepo kwa kiwanda. Lakini kwanini tuwangishe kichwa wakati tunalo shirika la umma lenye kazi moja tu ya kufanya utafiti wa viwanda nalo ni TIRDO chini ya prof. MMA Mtambo.
Huyu prof.Mtambo ndio tumshone kwanini hajafanya utafiti wa kuona kama tunaweza chakata na ni mtambo wa kiwango gani kwa technology ipi? mwekezaji kasema yuko tayari kutoa fedha za utafiti nilitegemea leo kuwe na msururu wa maprofesa na watafiti wakigombea kufanyakazi ile!
Sasa mwenye mali kasema hata yeye angependa yachakatwe hapahapa na katoa fedha za Research sasa mnataka nini? Watanzania porojo nyingi mno. Kupitia mzozo huu ipo haja ya kuyafanyia mabadiliko makubwa mashirika kama TIRDO NDC STAMICO UDSM. Hawa maprofessor wazee tuachane nao.