Sakata la Lugumi: Gazeti la Nipashe latakiwa kuliomba Bunge radhi kwa upotoshaji

LUGUMI ana nguvu sana eeh? Toka awamu wa nne ya JK, mpaka hii awamu ya tano ya Magu? Kweli CCM ni ile ile...

Bunge ni mara ngapi mmekwaruzana na media houses. !? Nguvu hii mnaitolea wapi?

Namashaka na zile 6Bilioni za masalio ya bunge, inawezekana zilitoka kwa LUGUMI.

It can't be possible Bunge kushupalia kumsafisha LUGUMU.
 
Mh! hii game haikuwa ya kitoto,natusubiri bunge litakapo kutana nadhani wajuzi wa sheria watakuwa wana kusanya data.
 
Swala hili lina upana wake maana linawagusa sana viongozi wa awamu ya tano pia ndio pesa iliyofanyia kampeni..ebu niambie ni uchaguzi upi ambao umewahi kupita baada tangia Kikwete aingie madarakani ambao haukuambatana na ufisadi mkubwa? Hizo pesa ndizo zilizosaidia CCM kwa kusaidiana na vyombo vya dola kulazimisha ushindi...
Kama unataka kujua nini kimefanyika fatilia kwa karibu uone jinsi askari walivyopewa vipesa kabla ya uchaguzi na baada hasa wale wenye vyeo kama ma RPC na wengineo wameneemeka sana kwa mgao
 
Ofisi inafanya hivyo baada ya kamati zake kukurupuka na kutaka mambo pengine siyo cag aliyoyabaini.
Wabunge wengi si wa ccm au upinzani wamekuwa wakitumia ripoti hizi kujipa kick kisiasa hata kwa kupotosha hali halisi ilivyo.
Hivyo ofisi kufafanua na kutuweka katika uelewa usio na upande inasaidia.
 
Andishi hapo juu kwamba "huenda" fedha hizo zimetumika kwenye uchaguzi mkuu Ni la kufikirisha sana
Watawala WA nchi walituambia wao Ni wakubwa na wana maarifa mengi hasa tukikumbuka suala la Kagoda na Rostam
 
LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI LUGUMI
 
Dah siasa tamu sana,hivi hujiulizi kwa nini wanasiasa wenye kelele upinza hawashupalii hili suala?...siku hizi wanasiasa huwalipa pesa waandishi kueneza propaganda ili wajiridhishe kabla ya wao kuingiza miguu...mambo mengi ni uongo,ngoja tusubiri.
 
Lugumi Sasa kaiweka Serikali yote Mfukoni hakuna wa kuthubutu kumgusa anasema Vyombo vya ipp media atavifungia vyote hataki kusikia chombo cha habari kinasema Ukweli anataka vyombo vyote vya habari viandike kuwa Zile pesa ni zake hakuna ufisadi wowote .
 
na pia katika ishu sensive kama iyo sio kwa spika kukaa kuandika leo iv kesho vile asubiri Wabunge ambao ndio wawakilishi wetu walijadili hilo sio peke ake aige mfano South Africa bunge linaitwa kikao cha dharura kujadili ishu iliyojitokeza kwa manufaa ya Watanzania na si kutujibia kila siku...
 
Money talk my friend....penye udhia penyeza rupia
 
Dah siasa tamu sana,hivi hujiulizi kwa nini wanasiasa wenye kelele upinza hawashupalii hili suala?...siku hizi wanasiasa huwalipa pesa waandishi kueneza propaganda ili wajiridhishe kabla ya wao kuingiza miguu...mambo mengi ni uongo,ngoja tusubiri.
Mkuu wizi wa Lugumi ni kweli wamepiga pesa isipokuwa kilichotokea ni ile kamati ya Bunge kupewa Rushwa kupitia Kwa kibajaji ili waje na matokeo ya kushangaza na huenda Watanzania watazidharau kamati zote za Bunge kabsa, JIPU la Lugumi ni kubwa kuna List kubwa wametafuna pesa za Lugumi Hivi Sasa wapo busy kuhakikisha kuwa Lugumi anakuwa msiri mkubwa asiwataje wale alizowagawia pesa, kinachofanyika Sasa ni kuwaziba midomo waandishi na vyombo vya habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…