Tulia we mbumbumbuYanga wana nongwa, hapo nia ni kumkomoa na kumvuruga kisaikolojia ili mpira umshinde mwisho wa siku wamcheke.
Simba wamwambie akae mbali na hiyo drama wanayoitengeneza afocus na mpira.
Mnajitekenya na kucheka nyie wenyewe. Mnatapatapa sana msimu huu. Mmekosa utulivu kabisa....Tulia we mbumbumbu
Hapa ni mwendo wa kuwashika Kabali dadeki
8_2Mnajitekenya na kucheka nyie wenyewe. Mnatapatapa sana msimu huu. Mmekosa utulivu kabisa....
Na wewe bado upo kwenye wenge la 15-18_2
Bado inakupa wenge
Futa machoziNa wewe bado upo kwenye wenge la 15-1
Kutoka 15 hadi ngapi?Futa machozi
Kunywa maji mengi
Msimu huu idadi inaongezeka
Tulia bomu la machovu linakuja hapo umbumbumbuniKutoka 15 hadi ngapi?
Nadhani unawaza mvua zinazokuja jinsi zitakavyozalisha vyura wengi hapo utopoloniTulia bomu la machovu linakuja hapo umbumbumbuni
Andaeni maji mengi
Mbumbumbu najua una maumivu makaliNadhani unawaza mvua zinazokuja jinsi zitakavyozalisha vyura wengi hapo utopoloni
Nendeni FIFA kama mmeona TFF wanazingua.Halafu mmuone kama kibao hakija wageukia nyinyi.Ninaomba hawa yanga waweke wazi ni lini walimsainisha Kagoma halafu watu waone muhuni ni nani.
Hawa viongozi wanahisi FIFA ni bodi ya ligi ya Tanzania
Mkataba wa awaliMkataba wa awali ni Mkataba kisheria.
Kama Yanga hawakutimiza masharti ya mkataba wa awali, sawa. kama Yanga hawajakiuka masharti au makubaliano ya mkataba wa awali, basi jamaa ana kesi ya kujibu.
Mikataba huwa haiangaliwi na TFF, kuna uwezekano jamaa alishaingia mkataba wa awali, akaingia tena mkataba na Simba na kupata kibali.
Muache kufatilia mpira na ushabiki maandazi. Huko Ulaya watu kuuziana wachezaji ligi inaendelea kawaida tu. Mfano tu Nkunku alinunuliwa Chelsea kutoka RB ligi ikiwa inaendelea.Ninaomba hawa yanga waweke wazi ni lini walimsainisha Kagoma halafu watu waone muhuni ni nani.
Hawa viongozi wanahisi FIFA ni bodi ya ligi ya Tanzania
Atakuwa amekiuka makubaliano/mkataba.Mkataba wa awali
Makubaliano yake yalikuwa yaishe tarehe 30/7
Kabla ya muda huo kagoma akasain Simba
Sasa Yanga ndo hoja Yao hiyo
Ujinga nao ni mzigo mkubwa sana. Mwenyewe unaona cha maana ulichoandika wakati upo op vibaya mnoNendeni FIFA kama mmeona TFF wanazingua.Halafu mmuone kama kibao hakija wageukia nyinyi.
Kagoma,Awesu, Lawi sajili zote zina utata, sema tu Awesu sheria na kanuni mkaweka pembeni, mkaleta mpira wenu wa hekima na busara kama vijiwe vya kahawa.Huku kwa Lawi mkashindwa, Kagoma nae mnaelekea kushindwa. Maana kama tukisema turudi kwenye kanuni, unatakiwa ukatwe points, ila ndio mpira wa bongo haufuati kanuni na sheria tuna sikiliza sana hekima basara.
Mbona ishu ipo wazi. Yanga waliingia mkataba wa swali na club then wakampa kishika uchumba kagoma. Yanga hawakutimiza ahadi yao kwa wakati kwa club ndipo Simba walipoingilia kati na kuingia mkataba mazima na club na mchezaji. Then club ikarelease leseni, tff wakaiapprove, Case closed. Na vyovyote itakavokuwa Simba hadhuriki kwa chochote hapoMkataba wa awali ni Mkataba kisheria.
Kama Yanga hawakutimiza masharti ya mkataba wa awali, sawa. kama Yanga hawajakiuka masharti au makubaliano ya mkataba wa awali, basi jamaa ana kesi ya kujibu.
Mikataba huwa haiangaliwi na TFF, kuna uwezekano jamaa alishaingia mkataba wa awali, akaingia tena mkataba na Simba na kupata kibali.