Wadau nimeambatanisha faili ya Pdf inayoonesha makosa yaliyovunjwa katika sheria za uwindaji na hawa jamaa lakini Wizara ikafumba macho na kuwarudishia leseni ya Uwindaji.
Profesa Maghembe amekaa kimya bila kutoa ufafanuzi wowote.Ni nani yupo nyuma yao?