beautifulonyinye JF-Expert Member Mar 16, 2015 728 481 May 10, 2017 #1 Habari za asubuhi Wakuu, kama mnavoona picha tunauza dagaa wa kukaanga kutoka mwanza kwa bei nafuu kabisa, Ndoo ni sh 50,000 , kilo moja ni sh 8,000 na unaletewa popote ulipo, Tunapatikana dar kwa maelezo zaidi njoo Pm. KARIBUNI SANA
Habari za asubuhi Wakuu, kama mnavoona picha tunauza dagaa wa kukaanga kutoka mwanza kwa bei nafuu kabisa, Ndoo ni sh 50,000 , kilo moja ni sh 8,000 na unaletewa popote ulipo, Tunapatikana dar kwa maelezo zaidi njoo Pm. KARIBUNI SANA
P praatt JF-Expert Member Sep 20, 2012 206 132 May 10, 2017 #2 Rudia kusoma title yako halafu utoe maelezo ya kina juu ya neno Sagas
beautifulonyinye JF-Expert Member Mar 16, 2015 728 481 May 10, 2017 Thread starter #3 praatt said: Rudia kusoma title yako halafu utoe maelezo ya kina juu ya neno Sagas Click to expand... Typing error mkuu nimejaribu kuedit heading nimeshindwa
praatt said: Rudia kusoma title yako halafu utoe maelezo ya kina juu ya neno Sagas Click to expand... Typing error mkuu nimejaribu kuedit heading nimeshindwa