Hii combination hata CCM wanaomba isitokee. Sina haja ya kuandika wasifu wao kwa kirefu maana sifa zao zinajulikana, Lissu hakopeshi, Heche jasiri, Lema mwanaharakati na hana bei, Mnyika anakijua chama tangu chuoni. Mbowe awe mlezi wa chama kama alivyo Mtei.