habari,
Ninaenda Songea kikazi na ni mara yangu ya kwanza. sijajua ntapataje hotel nzuri na nitafika jioni sana.
fungukeni nisije nikaenda hotel za ajabu ajabu
habari,
Ninaenda Songea kikazi na ni mara yangu ya kwanza. sijajua ntapataje hotel nzuri na nitafika jioni sana.
fungukeni nisije nikaenda hotel za ajabu ajabu
Unataka mwenzio aache kazi? ha haaaaaInategemea Budget yako ilivyo, kuna KIHOTEL kinaitwa HERITAGE COTTAGE maeneo ya Msamala njiani kabisa kabla haujafika mjini, ukimwambia conda akushushe HERITAGE COTTAGE atakushusha palepale kwenye Gate la Hotel kuna Kituo. Pia inategemea kazi zako kesho utafanyia mitaa gani, binafsi nakushauri ufikie UGABE HOTEL, ni palepale Bus Stand upande wa Mashariki ukiangalia utaiona ni jengo la Ghorofa kama tatu, ni karibu sana hauhitaji kupanda Taxi wala Bodaboda, ni palepale stendi na Ni Pazuri na PASAFI SANA! Bei nadhani ni 25 kwa 30K kama sikosei. Ungeweka na namba ya simu tungekusaidia na kufanya Booking Mkuu tukakutafutia na Mtu wa kupasha joto kitanda maana sku hizi Songea kijibaridi ndiyo kimeanza (..joking!).
Karibu Songea
Unataka mwenzio aache kazi? ha haaaaa
We nenda MKOMI ukajuwe na biashara ya madini inaendaje hukohabari,
Ninaenda Songea kikazi na ni mara yangu ya kwanza. sijajua ntapataje hotel nzuri na nitafika jioni sana.
fungukeni nisije nikaenda hotel za ajabu ajabu
ndo maana nakuuliza unataka mwenzio aache kazi? au aombe kuhamishiwa kituo cha Songea?Lol, HAZOLE hawezi kuacha kazi bana, ujue hiyo huduma nimuhimu sana hasa kipindi hiki cha baridi!...na watoto wa kingoni wanavyojua "kunoga"!! hiyo ndiyo itampa ari na kasi mpya ya kufanya kazi kwa bidii, si unajua kazi na dawa @FP!
ndo maana nakuuliza unataka mwenzio aache kazi? au aombe kuhamishiwa kituo cha Songea?
Inategemea Budget yako ilivyo, kuna KIHOTEL kinaitwa HERITAGE COTTAGE maeneo ya Msamala njiani kabisa kabla haujafika mjini, ukimwambia conda akushushe HERITAGE COTTAGE atakushusha palepale kwenye Gate la Hotel kuna Kituo. Pia inategemea kazi zako kesho utafanyia mitaa gani, binafsi nakushauri ufikie UGABE HOTEL, ni palepale Bus Stand upande wa Mashariki ukiangalia utaiona ni jengo la Ghorofa kama tatu, ni karibu sana hauhitaji kupanda Taxi wala Bodaboda, ni palepale stendi na Ni Pazuri na PASAFI SANA! Bei nadhani ni 25 kwa 30K kama sikosei. Ungeweka na namba ya simu tungekusaidia na kufanya Booking Mkuu tukakutafutia na Mtu wa kupasha joto kitanda maana sku hizi Songea kijibaridi ndiyo kimeanza (..joking!).
Karibu Songea
weka mbali na watoto....tena huko nasikia wanajuwa kulea balaa
Hahahahaa, hapo umenena haswa, ataomba uhamisho fasta. Btw, naona yuko kimya sijui hata alilala wapi isjekuwa alilala vichochoroni, au ndiyo alilala kwa yule aunt mfupi mnene aliyekaa naye seat moja kwenye basi!!..llol!
cc. CYBERTEQmkuu umenena. nataka kucheki na investments za huko. nikinogewa nabaki huko