Mimi ni msichana mwenye umri wa Miaka 25. Nilifanikiwa kuwa kwenye mahusiano na mkaka mmoja hivi mwenye umri wa miaka 30.
Tulipendana kwa mtazamo wa macho ya nyama. Ila maisha yalibadilika nilivyobeba mimba. Mvutano ulikuwa mkubwa sana.
Let's go.... Safari yangu ya ujauzito bila baba wa Mwanangu. Ni huzuni sana