Safari ya Vyama vya Upinzani, bado ni ndefu tena ni ndefu sana

Sekenyula

Member
Mar 12, 2024
41
40
Matokea ya uchaguzi wa serikali za mitaa yametoa taswira ya namna vyama vya upinzani nchini vitaendelea kuwa wasindikizaji.

Vyama hivyo vitaendelea kuisindikiza CCM na kukiacha kiking'ara kuendelea kushika dola.

Marehemu Lowassa aliwahi kusema, " tukishindwa safari hii tutahitaji miaka 30 mingine ili tushinde.

Hiyo ilikuwa uchaguzi mkuu 2015.
Kwa matokeo ya uchaguzi wa seriiali za mitaa ulofanyika juzi; wapinzani wanahitaki miaka sio 30 labdai 60 ili waweze kushika dola.

CCM licha ya ukongwe wake, bado inapendwa sana na Watanzania.
 
Inahitajika Political Reforms kwenye katiba na kwenye vyama vya siasa.
Ugombea binafsi uruhusiwe,utaleta chachu kwenye vyama vya siasa.
Kuna baadhi ya viongozi kwenye vyama vya upinzani wamechoka kifikra,wamechoka kuhimili misukosuko ya chama dola na serikali,wamekosa mvuto,wana stress. Waende likizo ya kisiasa.
Hatutegemei kwenda uchaguzi 2025 na watu wale wale kama wataleta impact kwa CCM.
Total overhaul ya vyama hivyo ifanyike mapema iwezekavyo au vyama vyenye uchu wa kuchukuwa dola viungane kuongeza nguvu.
 
Kwa kura za karatasi CCM hawawezi kutoka ni wezi balaa na kila mtu anajua Hilo
Polisi wanalinda uovu wa CCM tena bila haya na kila mtu anajua Hilo mfano uchaguzi huu Kuna sehemu chadema wamekamta watu wa CCM wakiwa na kura feki chadema kuwazuia hao watu wao ndo wakachukuliwa kupelekwa rumande Sasa ndo uchaguzi Gani huu ?

System inayoratibu kila jambo kwenye nchi hii Kwa kipindi hiki imeoza
 
Matokea ya uchaguzi wa serikali za mitaa yametoa taswira ya namna vyama vya upinzani nchini vitaendelea kuwa wasindikizaji.

Vyama hivyo vitaendelea kuisindikiza CCM na kukiacha kiking'ara kuendelea kushika dola.

Marehemu Lowassa aliwahi kusema, " tukishindwa safari hii tutahitaji miaka 30 mingine ili tushinde.

Hiyo ilikuwa uchaguzi mkuu 2015.
Kwa matokeo ya uchaguzi wa seriiali za mitaa ulofanyika juzi; wapinzani wanahitaki miaka sio 30 labdai 60 ili waweze kushika dola.

CCM licha ya ukongwe wake, bado inapendwa sana na Watanzania.
Katiba mpya bora ni muhimu !
Au nasema uongo ndugu zanguni ????!!!,
😅😅😀🙌

Otherwise ni kujidanganya tu !
 
Matokea ya uchaguzi wa serikali za mitaa yametoa taswira ya namna vyama vya upinzani nchini vitaendelea kuwa wasindikizaji.

Vyama hivyo vitaendelea kuisindikiza CCM na kukiacha kiking'ara kuendelea kushika dola.

Marehemu Lowassa aliwahi kusema, " tukishindwa safari hii tutahitaji miaka 30 mingine ili tushinde.

Hiyo ilikuwa uchaguzi mkuu 2015.
Kwa matokeo ya uchaguzi wa seriiali za mitaa ulofanyika juzi; wapinzani wanahitaki miaka sio 30 labdai 60 ili waweze kushika dola.

CCM licha ya ukongwe wake, bado inapendwa sana na Watanzania.
Mnajimilikisha uhai wa watu binadamu wenzenu wanakufa kwa na kupotezwa kisa wapinzani mnakuja humu na hoja za ki hayawani, unashinda je na hujashindana na mtu, CCM siku haipo limebaki jeshi la police
 
Back
Top Bottom