Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,030
- 5,535
Saed Ramovic, kocha wa zamani wa Yanga, alitoa maoni kuhusu tofauti ya ushindani kati ya ligi za Algeria na Tanzania baada ya mechi yake ya kwanza na CR Belouzdad dhidi ya MC Alger katika fainali ya Algerian Super Cup. Alisema,
"Hapa Algeria, unacheza na wapinzani wagumu kila wiki, na hiki ndicho nilichokuwa nakihitaji kama kocha, tofauti na Tanzania ambapo kuna timu tatu tu zinazoshindania ligi ambazo ni Yanga, Simba, na Azam."
MC Alger walitwa Algerian Super Cup baada ya sare ya bao 2-2 dakika 90 ndipo mikwaju ya penati 4-3 kuamua bingwa hapo jana Februari 8.