OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 434
great thinker.
ameelezea kitaalamu, ameeleza ki-controller.
''kwetu hapa Tanzania ndege ikiwa imebeba rais hujitambulisha kama "Tanzania One",akiwa makamu wa Rais "Tanzania Two" na akiwa Waziri mkuu rubani huita "Tanzania Three"....''
Nashawishika kutaka kujua kuhusu Call Sign ya rais wetu wa Zanzibar.....sijui itakuwa Zanzibar one??
Siyo kama wakina Lizaboni na Chabruma 24 hours wanakuja na story za kupika
serikali nyingi ziliangushwa kutokana na system mbovu za intelligence.Hongera system yake kuwatambua adui lakini ifanye tathmini ya hali ya watu wa burundi wanamtaka au hawamtaki then ije naconclusion ntawaelewa
​robot kazini, any ways ninachojiuliza hawa loyal soldiers kwa rais wanatetea amani au wanataka nini???Halafu atatokea ntu anaejiita Yericko Nyerere na mwengine anaejiita Mzee Mwanakijiji watachukuwa hii "analysis" wataigeuza kidogo na kujifanya ni yao.
Ahsante barafu kwa "analysis" ya moto.
''kwetu hapa Tanzania ndege ikiwa imebeba rais hujitambulisha kama "Tanzania One",akiwa makamu wa Rais "Tanzania Two" na akiwa Waziri mkuu rubani huita "Tanzania Three"....''
Nashawishika kutaka kujua kuhusu Call Sign ya rais wetu wa Zanzibar.....sijui itakuwa Zanzibar one??
Hata misafara ya Magari ya viongozi Ina code names ambazo hubadilika kila Mara
Zanzibar "call sign" yake ilikuwa ni "Zanzibar One" kwa Rais wa SMZ na "Zanzibar Two" kwa Waziri Kiongozi.
Baada ya mabadiliko ya Katiba ya Zanzibar 2010,sasa imekuwa "Zanzibar One" kwa Rais wa SMZ, "Zanzibar Two" kwa Makamu wa Kwanza wa Rais na "Zanzibar Three" kwa Makamu wa Pili wa Rais wa SMZ
Mzee kwa uandishi umetulia nakupa salute maana umenielimisha na mambo ambayo sikuwa nayafahamu. Je huyo Jenerali atakuwa mtii kwetu? Hapa lazima kuwe na maslahi ya kiuchumi kama nchi na siyo kufurahia mapinduzi tu.
Rais wa Tanzania akipanda private airline kwa mfano "British Airways" au "KLM" au "Emirate" kwa safari za kimataifa, je , Call sign ya hizo ndege inakuawaje inapokuwa angani?