SABABU ZA NDOA ZA SIKU HIZI KUVUNJIKA MAPEMA (KATAA NDOA, NDOA NI UTAPELI)

Vpn01

JF-Expert Member
Apr 8, 2024
227
764
MATUMIZI

Kipindi cha uhusiano baadhi ya wapenzi hujifanya ni watu wenye matumizi mazuri ya fedha na rasilimali nyinginezo lakini akishaingia ndani basi huonesha utumiaji wake mbovu wa rasilimali hizo. Kwa mtu mwenye malengo, mtu wa namna hiyo hana nafasi katika maisha yake.

FARAGHA

Kuna wapenzi wengine hudiriki hata kufoji namna ya kushughulika wanapokuwa faragha, utakuta anajitutumua ilimradi asioneshe udhaifu wake na kwa mtu ambaye yuko naye, anaona huyu ndiye anafaa lakini anapomuweka tu ndani basi uwezo wake wa faragha udhihirika na hapo ndipo mmojawao anaanza kutamani kutoka nje kwa sababu alichokiona siku za awali sicho alichokutana nacho.
 
Hizo ni sababu ndogo mno na hakuna sababu ya maana hapo.
Kuna sababu mbili kuu zinazopelekea huko, na si ulizotaja
 
Mbona Uzi umeisha ghafla Sana?
Mimi nilitarajia kuona nyama za kutosha kumbe ndo imeisha hivyo eti🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…