UnajuaHabari,
Nimeprove hili....ndoa za siku izi hazidumu au wanandoa ni full kuchepuka.....sababu kuu ni kuingia kwenye ndoa ili uonekane umeoa au umeolewa ingali mtu uliyeoana nae moyo haukuridhia.
Tena hii inatokea sana kwa mabinti ....jamii inanionaje au rafiki yangu kuolewa basi nawe mbio kuolewa na MTU hata hujampenda...mwisho wa siku unaanza kumtesa mtoto wa MTU ndan na michepuko juu.Emu sometimes tuwe tunajihurumia siye wenyewe...badala ya kutazama naniliu atasema mi bado sijaoa au sijaolewa ,,,angalia na upande wa pili kwamba je ukishaolewa au kuoa hao kina mwafulan watakusaidia kuendesha ndoa yako.
Mfano halisi ni mimi mwenyewe,mi nimezaa before marriage lakin simlaumu sana Ba fulan coz naamin mi ndo nilimpenda ila yeye hakunipenda so akaona akiforce kunioa huenda akanitesa.Japo upande mwingine namlaumu coz kama hujampenda mtoto wa watu usiombe mzae.So tujiulize mara mbilimbili tusikurupuke....bora umri uende kuliko kuingia ndoan na mtu usimpenda........mnaharibu pesa za watu za michango ya harusi jamen
kweli nduguMmmh ni Kama kuna ka Uchochezi ndani yake kwa waliooana... Ila ni kweli Sana sana Gals ndo wanapenda show off za ndoa, mwingine mnaongea nae Leo vzur tu keshokutwa kibanda cha nyasi anavishwa Pete huku ni kuoneka tu Hamna lolote. Maisha hasa ndoa sio ya mchezo tulioko Nje tunaambiwa huko ni balaa... Lakn watu wanakimbilia na kutelekezwa ni kwingi saiv ... Mwenye akili atasikia... Aliye na tamaa ataleta mrejesho.
Scriptures says baada ya Uumbaji, Mungu alieleta taasisi Kubwa mbili Dini na Ndoa. Sasa kitu cha asili Wewe unakurupukia haya.
kweli Mkuu,tunazini kabla ya ndoa.Lakin shida unaweza usiikute.Sababu kubwa, wanaingia kwenye ndoa na roho za zinaa. Maana wanaanza kufanya uasherati , kitu ambacho ni dhambi. So kama unaingia kwenye ndoa na dhambi badala ya baraka unategemea nini hapo ?
kweli Mkuu,tunazini kabla ya ndoa.Lakin shida unaweza usiikute.
kutubu si kupo au?Kufanya dhinaa nje ya ndoa ni dhambi na matokeo ya dhambi ni laana na sio baraka. Ukiingia kwenye ndoa na laana na roho ya zinaa, kuchepuka lazima halikwepi na mwisho wa siku magonjwa au kuachana
sasa shida ni kwamba wengi wanaficha mapungufu ya maumbile yao kwa njia hiyo....huoni kama utakuwa shida tena mbelenKufanya dhinaa nje ya ndoa ni dhambi na matokeo ya dhambi ni laana na sio baraka. Ukiingia kwenye ndoa na laana na roho ya zinaa, kuchepuka lazima halikwepi na mwisho wa siku magonjwa au kuachana