Sababu vikosi vya SADC vilivyopo DRC kushidwa kukabiliana M23 wanaungwa mkono na Rwanda ni hii

Brigadier Isaac

JF-Expert Member
Jan 2, 2021
501
1,470
Ukweli usemwe

Naweza kua sipo field ila kwa huu mtililiko wa Mambo nirahisi kuona matobo na udhaifu uliopo haitaji kuwa na akili za jasusi kung'amua unafiki,usaliti unaondelea hapa kati tangu mwaka Jana 2024 vikosi vya SADC vilivyowasili DRC mwaka Jana

Mwaka Jana 2024 wote tulishuhudia vikosi vya SADC vikiingia DRC baada kwa vikosi east Africa ku withdrawal sitaki kuelezea sana ila Kuna video moja ili trend mwaka jana ya wajeshi wa JWTZ walikua wanaingia DRC wakishukia kiwanja cha Goma wakiwa na silahi nzito kama b-21 rocket launcher kama tatu ,mizinga aina D-30 na magari ya iveco kwa ajili ya kubebea troops kama sikosei kikosi cha Quick reaction force (QRF)
hapo sijaongelea silaha waliongia nazo Malawi na south Africa ila kwa silaha walizoingia nazo jwtz inaonesha kabisa mandate ya kwanza kabisa ilikua offensive sio kulinda amani (peace keeping) kama wanavyotupanga sasa
Hamna kikosi cha walinda amani hapa duniani kinachotumia B-21 rocket launcher na mizinga kama D-30 howitzer kulinda amani(peace keeping) hizi ni silaha za offensive operations sio defensive
Sijaongelea speech aliotoa kamanda wa south Africa kwa vikosi JWTZ huku wakishangilia "apigwe kunguru apaigwe" hii video ilitrend sana na kwa Ile speech si dhani kama hii operation initial ilikua ni kulinda amani kama wanavyosema

Baada kama ya wiki mbili Kuna video nyingine ilitrend ya JWTZ wakitumia B-21 kufurumusha rocket kwenye kunako sadikika ni enemy position wakisema wape Raha kama ujuvyo waswahili na maneno
baadae kidogo iliopostiwa barua iliondikwa na uongozi wa waasi wa M23 ikilalamika kutokua na ugomvi na vikosi SADC huku ikitaja kabisa kua Hawana ugomvi na Tanzania
Siku chache baadae tukasikia waziri wa Mambo ya nje wa Tanzania kutoa tamko kua Tanzania Haina ugomvi na kikundi chochote Cha waasi DRC
Hapa ndio unaanza kuona ukakasi na ukinzani uliopo kwenye hii operation ya SADC
Baadae kidogo habari zikaja vifo vya wanajeshi wawili wa south Africa,mkutano wa wakuu wa majeshi za nchi za SADC zilizopo DRC sitayaongelea sana hizi habari
Ila baadae tangu hapo vita na M23 ilikua inapiganwa na jeshi la DRC pekeake pamoja ya kikundi cha wazelendo hii kutokana vinavyokuwa report kwenye media,uhusikaji wa SADC kwenye mapambano haupo clear na haukua report kwenye media tangu mwaka Jana May kikao cha wakuu wa majeshi ya nchi za SADC DRC

Hapo kati kabla ya mji wa goma kuchukuliwa habari zilozokua ni M23 kuchukua maeneo na miji

Tuje mwaka huu ambapo tumeona mengi na tutaendelea kuona mengi

Kama sikosei wakati mji wa Goma unachukuliwa ndio kulikua na mkutano wa energy summit huku Tanzania focus yote ilikua kwenye huu mkutano cha ajabu na kutia ukakasi habari za kukwama kwa madeleva roli wa Tanzania kule DRC au taarifa za vikosi vyetu vilivopo Goma zilikua hazikua zinatiliwa maanani na viongozi wa inchi hii sio serikalini Wala jeshini wote walikua kimya hakuna tamko lolote lilotolewa ni kimya cha nguvu
ni south Africa tu ndio ilionyesha direct attention kwa kinachoondelea mji wa Goma huku Tanzania kama sio swala linalotuhusu kwenye media za Tanzania hakuna mijadala wala tamko lilotolewa kama hatuna wanajeshi na ndugu zetu huko DRC tuko bize kufatilia Mpira,wasanii na kusifia kama ilivyo kawaida🤣🤣🤣
Inshort hizi habari zilikua zinatrend sana X na jamiiforum lakini kwenye vyombo vya habari hazikua front heading nahisi hata kwa viongozi wetu wa serikali nahisi hali ilikua hivihivi Kila mtu anajiafanya hawaoni hakukua na tamko la kama taifa kiujumla

Kiufupi wanajeshi wa JWTZ waliopo Goma kipindi mji unachukuliwa hatima yao tuliiacha kwa SADC ambayo haileweki na M23 no wonder Kuna hizi picha za wanajeshi wetu zilitrend wakati mji unachukuliwa lakini ni wachache walioziona
Ukiangalia sura za hawa wanajeshi wetu utaona confusion,panic na hasira ni kama hawajui wafanye nini na kweli hakukua na direct order ndio wa cease fire au mapambano yaendelee mda huo waasi wanasonga mbele
Ndio kama nchi tumewatelekeza hivi nadhani Kuna namna hawa wapiganaji wetu walikua wanajisikia ni vile ti hatuna mawasiliano nao watuuambie kinachoondelea
Picha

00HFOdrc-goma-02-qmtb-mobileMasterAt3x.jpg

20250129_162356.jpg
20250129_162359.jpg

Tutoke huko tuje juzi hapa baada ya video ilitrend office wa JWTZ akigaguliwa na police wa Rwanda hapa ndio kidogo watanzania wengi ndio walizinduka kutoka kwenye usingizi wa sisi ni Bora

japo mpaka sasa serikalini wapo kimya 😄😄 hakuna tamko Wala hata kuelezea chochote, Wala hata kuongelewa bungeni ni kula buyu LA maana😆😆😆
hii inchi sijui tunaenda wapi na tutaendelea kutiana gizani mpaka lini ila uzuri hii Dunia mambo hayajifichi one day

Jana mmeona officer wetu akitia Saini mkataba wa kuomba kuachiwa silaha zetu na kiongozi wa m23 ambaye 2013 tulimtafuta kwa udi na uvumba kumuua na leo hii tuna muomba atuachie silaha zetu 🤣🤣 🤣 ngoja nicheke Mimi
IMG_4142.jpeg

Angalia macho ya kamanda wetu hapo haitaji kuwa mwanasaikolojia kujua anavyo jisikia japo walikua wanachekacheka ngoja niishie hapo nisije tafutwa bure kwa kesi ya uchochezi

Kama nilivosema sipo kwenye hii field hivyo sijui mengi ila ukweli safari hii tumeshidwa na kuabishwa vibaya huko kongo

One day picha zitasambaa kwenye social media kwa nina vyowajua hawa m23
Ila tuendelee kufichana na kusifia kwa juhudi sana🤣🤣🤣
Msisahau kuendelea kupeana ajira kwa kujuana na uchawa

Tanzania haitakuja anguka ila tutajifunza jambo🇹🇿
 
Kilichotokea Kongo ni kile kilichotokea Afghanistan marekani akishindwa na kuwaacha Taliban kuchukua nchi
Watu wa goma wengi wanawaunga M23 mkono na ndani ya serikali ya Kongo Kuna mpasuko mkubwa unaosababisha hao M23 wapate
Vikosi vya sadc visingeweza kushinda kirahisi
 
baadae kidogo iliopostiwa barua iliondikwa na uongozi wa waasi wa M23 ikilalamika kutokua na ugomvi na vikosi SADC huku ikitaja kabisa kua Hawana ugomvi na Tanzania
Siku chache baadae tukasikia waziri wa Mambo ya nje wa Tanzania kutoa tamko kua Tanzania Haina ugomvi na kikundi chochote Cha waasi DRC
Hapa ndio unaanza kuona ukakasi na ukinzani uliopo kwenye hii operation ya SADC
Baadae kidogo habari zikaja vifo vya wanajeshi wawili wa south Africa,mkutano wa wakuu wa majeshi za nchi za SADC zilizopo DRC sitayaongelea sana hizi habari
Ila baadae tangu hapo vita na M23 ilikua inapiganwa na jeshi la DRC pekeake
Kwenye mtiririko wako sikuelewa point uliposema baada ya M23 kuandika barua kwa TPDF kwamba hawana ugomvi na Tanzania, ukasema kuanzia hapo mamb yalibadilika, ulikuwa na maana Tanzania walilegeza kamba ama M23 waliamua kujibu mapigo zaidi?

Halafu ukasema baada ya hapo DRC wlikuwa wakipambana peke yao, halafu mwishoni unasema TPDF walipata aibu na kuzidiwa kijeshi na M23..
Kama nilivosema sipo kwenye hii field hivyo sijui mengi ila ukweli safari hii tumeshidwa na kuabishwa vibaya huko kongo
Hii imekaaje?

Hebu eleweka SADC wamelegeza kamba? ama wameaibishwa kwa kuzidiwa na M-23? maana hujaeleweka..
 
Mwaka Jana 2024 wote tulishuhudia vikosi vya SADC vikiingia DRC baada kwa vikosi east Africa ku withdrawal sitaki kuelezea sana ila Kuna video moja ili trend mwaka jana ya wajeshi wa JWTZ walikua wanaingia DRC wakishukia kiwanja cha Goma wakiwa na silahi nzito kama b-21
Nadhani ulimaanisha BM-21, wenywe wanaita sabasaba, hizi silaha ni za kale sana..
330px-Russian_BM-21_Grad_in_Saint_Petersburg.JPG
 
ND
Kwenye mtiririko wako sikuelewa point uliposema baada ya M23 kuandika barua kwa TPDF kwamba hawana ugomvi na Tanzania, ukasema kuanzia hapo mamb yalibadilika, ulikuwa na maana Tanzania walilegeza kamba ama M23 waliamua kujibu mapigo zaidi?

Halafu ukasema baada ya hapo DRC wlikuwa wakipambana peke yao, halafu mwishoni unasema TPDF walipata aibu na kuzidiwa kijeshi na M23..

Hii imekaaje?

Hebu eleweka SADC wamelegeza kamba? ama wameaibishwa kwa kuzidiwa na M-23? maana hujaeleweka..
Nadhani mandate ya SADC kule kongo ilikua haileweki ndio maana tangu M23 inachukua miji mingine hadi kufikia Goma inachukuliwa wanajeshi wa SADC walikua wapo kambini
Kiufupi hamna direct fight iliotokea kati vikosi vya sadc na m23
Sadc wenyewe wanasema wameenda kulinda amani sio kupigana na cha ajabu askari wao wengine wamekufa
 
Hizi nchi zetu wana siri za kipuuzi zisizo na maana..
 
Ukweli usemwe

Naweza kua sipo field ila kwa huu mtililiko wa Mambo nirahisi kuona matobo na udhaifu uliopo haitaji kuwa na akili za jasusi kung'amua unafiki,usaliti unaondelea hapa kati tangu mwaka Jana 2024 vikosi vya SADC vilivyowasili DRC mwaka Jana

Mwaka Jana 2024 wote tulishuhudia vikosi vya SADC vikiingia DRC baada kwa vikosi east Africa ku withdrawal sitaki kuelezea sana ila Kuna video moja ili trend mwaka jana ya wajeshi wa JWTZ walikua wanaingia DRC wakishukia kiwanja cha Goma wakiwa na silahi nzito kama b-21 rocket launcher kama tatu ,mizinga aina D-30 na magari ya iveco kwa ajili ya kubebea troops kama sikosei kikosi cha Quick reaction force (QRF)
hapo sijaongelea silaha waliongia nazo Malawi na south Africa ila kwa silaha walizoingia nazo jwtz inaonesha kabisa mandate ya kwanza kabisa ilikua offensive sio kulinda amani (peace keeping) kama wanavyotupanga sasa
Hamna kikosi cha walinda amani hapa duniani kinachotumia B-21 rocket launcher na mizinga kama D-30 howitzer kulinda amani(peace keeping) hizi ni silaha za offensive operations sio defensive
Sijaongelea speech aliotoa kamanda wa south Africa kwa vikosi JWTZ huku wakishangilia "apigwe kunguru apaigwe" hii video ilitrend sana na kwa Ile speech si dhani kama hii operation initial ilikua ni kulinda amani kama wanavyosema

Baada kama ya wiki mbili Kuna video nyingine ilitrend ya JWTZ wakitumia B-21 kufurumusha rocket kwenye kunako sadikika ni enemy position wakisema wape Raha kama ujuvyo waswahili na maneno
baadae kidogo iliopostiwa barua iliondikwa na uongozi wa waasi wa M23 ikilalamika kutokua na ugomvi na vikosi SADC huku ikitaja kabisa kua Hawana ugomvi na Tanzania
Siku chache baadae tukasikia waziri wa Mambo ya nje wa Tanzania kutoa tamko kua Tanzania Haina ugomvi na kikundi chochote Cha waasi DRC
Hapa ndio unaanza kuona ukakasi na ukinzani uliopo kwenye hii operation ya SADC
Baadae kidogo habari zikaja vifo vya wanajeshi wawili wa south Africa,mkutano wa wakuu wa majeshi za nchi za SADC zilizopo DRC sitayaongelea sana hizi habari
Ila baadae tangu hapo vita na M23 ilikua inapiganwa na jeshi la DRC pekeake pamoja ya kikundi cha wazelendo hii kutokana vinavyokuwa report kwenye media,uhusikaji wa SADC kwenye mapambano haupo clear na haukua report kwenye media tangu mwaka Jana May kikao cha wakuu wa majeshi ya nchi za SADC DRC

Hapo kati kabla ya mji wa goma kuchukuliwa habari zilozokua ni M23 kuchukua maeneo na miji

Tuje mwaka huu ambapo tumeona mengi na tutaendelea kuona mengi

Kama sikosei wakati mji wa Goma unachukuliwa ndio kulikua na mkutano wa energy summit huku Tanzania focus yote ilikua kwenye huu mkutano cha ajabu na kutia ukakasi habari za kukwama kwa madeleva roli wa Tanzania kule DRC au taarifa za vikosi vyetu vilivopo Goma zilikua hazikua zinatiliwa maanani na viongozi wa inchi hii sio serikalini Wala jeshini wote walikua kimya hakuna tamko lolote lilotolewa ni kimya cha nguvu
ni south Africa tu ndio ilionyesha direct attention kwa kinachoondelea mji wa Goma huku Tanzania kama sio swala linalotuhusu kwenye media za Tanzania hakuna mijadala wala tamko lilotolewa kama hatuna wanajeshi na ndugu zetu huko DRC tuko bize kufatilia Mpira,wasanii na kusifia kama ilivyo kawaida🤣🤣🤣
Inshort hizi habari zilikua zinatrend sana X na jamiiforum lakini kwenye vyombo vya habari hazikua front heading nahisi hata kwa viongozi wetu wa serikali nahisi hali ilikua hivihivi Kila mtu anajiafanya hawaoni hakukua na tamko la kama taifa kiujumla

Kiufupi wanajeshi wa JWTZ waliopo Goma kipindi mji unachukuliwa hatima yao tuliiacha kwa SADC ambayo haileweki na M23 no wonder Kuna hizi picha za wanajeshi wetu zilitrend wakati mji unachukuliwa lakini ni wachache walioziona
Ukiangalia sura za hawa wanajeshi wetu utaona confusion,panic na hasira ni kama hawajui wafanye nini na kweli hakukua na direct order ndio wa cease fire au mapambano yaendelee mda huo waasi wanasonga mbele
Ndio kama nchi tumewatelekeza hivi nadhani Kuna namna hawa wapiganaji wetu walikua wanajisikia ni vile ti hatuna mawasiliano nao watuuambie kinachoondelea
Picha

View attachment 3287182

View attachment 3287183View attachment 3287184

Tutoke huko tuje juzi hapa baada ya video ilitrend office wa JWTZ akigaguliwa na police wa Rwanda hapa ndio kidogo watanzania wengi ndio walizinduka kutoka kwenye usingizi wa sisi ni Bora

japo mpaka sasa serikalini wapo kimya 😄😄 hakuna tamko Wala hata kuelezea chochote, Wala hata kuongelewa bungeni ni kula buyu LA maana😆😆😆
hii inchi sijui tunaenda wapi na tutaendelea kutiana gizani mpaka lini ila uzuri hii Dunia mambo hayajifichi one day

Jana mmeona officer wetu akitia Saini mkataba wa kuomba kuachiwa silaha zetu na kiongozi wa m23 ambaye 2013 tulimtafuta kwa udi na uvumba kumuua na leo hii tuna muomba atuachie silaha zetu 🤣🤣 🤣 ngoja nicheke Mimi
View attachment 3287192
Angalia macho ya kamanda wetu hapo haitaji kuwa mwanasaikolojia kujua anavyo jisikia japo walikua wanachekacheka ngoja niishie hapo nisije tafutwa bure kwa kesi ya uchochezi

Kama nilivosema sipo kwenye hii field hivyo sijui mengi ila ukweli safari hii tumeshidwa na kuabishwa vibaya huko kongo

One day picha zitasambaa kwenye social media kwa nina vyowajua hawa m23
Ila tuendelee kufichana na kusifia kwa juhudi sana🤣🤣🤣
Msisahau kuendelea kupeana ajira kwa kujuana na uchawa

Tanzania haitakuja anguka ila tutajifunza jambo🇹🇿
Maelezo ni marefu lakini sijapata kitu.
 
Inasikitisha!
 
Inatumika mpaka sasa silaha sio kama simu kwamba ikiwa ya zamani basi ni ya kishamba
B-21 japo kua ni ya kitambo ila Bado ni inaweza kusabisha damage hasa kwa vikosi vya Askari wa miguu
Hii silaha haina shabaha nzuri, Katika vita vya mijini, matumizi yake yanaweza kusababisha vifo vya raia na ukiukaji wa sheria za kimataifa za vita.

Hio BM-21 pia kupambana na maadui waliojificha ni ngumu, yenyewe inalenga maeneo makubwa kama kambi za kijeshi, miundo mbinu ya adui n.k.. katika mazingira ya vita ya kisasa haya masilaha ya namna hii si ya kutegemea..

Watu hivi sasa wanatumia drones za kisasa kufanya Intelligence, Surveillance, and Reconnaissance, drones zinaweza kutambua sehemu zipi za kulenga kwa usahihi mkubwa.. hivi sasa kuna mizinga yenye shabaha kubwa achana na hayo bm-21..

BM-21 inaweza kuwa na matumizi katika vita vya kisasa, lakini si mfumo wa kushambulia kwa usahihi mkubwa. Inafaa zaidi kwa kurusha roketi nyingi kwa haraka kwenye maeneo makubwa, kuharibu ngome, na kushambulia vikosi vya adui vilivyo kwenye nafasi wazi.

Ndio maana hakuna yalichofanya...
Waasi wa M23 wametumia sana drones kufanya ujasusi na kuangalia maeneo ya maadui...
Hivi sasa kuna mifumo ya kisasa na makombora yanatumia GPS, INS, na laser guidance.. yanapiga shabaha kiusahihi zaidi..
 
Back
Top Bottom