MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,275
- 1,240
Mkuu MTU anajiua baada ya stress anapata depression .Na Mara nyingine watu hao hawapend kushare masaibu yanayowapata huwa wako wasiri Sana.kumweleza MTU Wa karibu ni tiba kubwa.Wengine wanadai ni wivu wa mapenzi, wengine wanadai kuchanganyikiwa kwa mtu na wengine eti hasira kali au kukata tamaa,ifahamike kuwa binadamu kaumbwa mwili na roho.Tunapaswa kuilisha na kuitunza miili yetu na roho zetu ili kuwe na uwiano stahili. Sasa binadamu wa leo wanaitunza na kuijali zaidi miili na wanazisahau roho zao kuzilisha mwili utaupatia chakula na mahitaji yake lakini kumbuka hata roho zinahitaji chakuka chake.
Kiroho tunapaswa kusali kwa Muumba wetu na kutenda yale yanayopaswa kadiri ya imani zetu, nchi ambazo dini zinapuuzwa sana ndiko kuliko na vifo vingi vya kujinyonga kwani watu hao hawakuwa na dini hivyo jambo zito likiwapata wanashindwa kuliweka mbele ya imani kwa Mungu mweza yote.Angalia Ulaya wanaojinyonga ni wengi hata hapa Bongo wanaojinyonga wengi ni kwasababu hawana dini au hawaishi kadiri ya matakwa ya dini zao.
KUMBE SABABU KUU NA YA MSINGI YA WATU KUJINYONGA ni kushindwa kutatua matatizo yanayozidi uwezo wao wa kibinadamu kwasababu kiroho wako dhaifu. Wengi wasio na dini au wanaopuuza mambo ya dini wapo katika hatari hii.
ni kweli. ila akiwa mtu wa sala ataongea na Mungu wake, angefarijiwa na asingefikia kujinyonga.Mkuu MTU anajiua baada ya stress anapata depression .Na Mara nyingine watu hao hawapend kushare masaibu yanayowapata huwa wako wasiri Sana.kumweleza MTU Wa karibu ni tiba kubwa.
ndani ya msongo wa mawazo ni udhaifu wa kirohoMsongo wa mawazo pekee hupelekea watu kufikia maamuzi haya. Mengine ni nyongeza.
Ndio maana anakiwa ashirikishe upande mwingine hata kwa iman ya kidinini kweli. ila akiwa mtu wa sala ataongea na Mungu wake, angefarijiwa na asingefikia kujinyonga.
Mungu hampangii mtu kujinyonga. ukiacha mtu aliyechanganyikiwa, wengine wote ni kwasababu ya udhaifu wa kiimani. walio vzr kiroho hata wakipata madepression hayawezi kuwafikisha hadi kujinyonga.Kama kifo chako kilpangwa utakufa kwa kujinyonga ndio hivyo itakavyokua hata ufanyaje. Hizo stress depression sijui imani na din zote ni manuva Tu za kusafisha njia hili hatma ya kusudio la kifo chako kilivyopangwa toka uzaliwe iwe ni kwa kujinyonga.
Swali je wangapi dunian wana mastress na madipression ya laana na kutosha hawajinyongi? Ni wengi sana. Kila mtu amepangiwa atakivyokufa pindi Tu anapozaliwa