Rwanda: President Kagame fires Military Intelligence Chief

Upuuzi mtupu,nini cha ajabu mtu kufukuzwa kazi? Magufuli kafukuza wangapi...anyway akili za interahamwe ndio zilipoishia na Rwanda walifanya kitu kizuri sana kuwatandika ndio maana wanaendelea mbele
 
Nilishawahi kusema mambo ya rwanda tuwaachie rwanda.Nchi haiendeshwi kishiaji na kujuana na kama tanzania.Naweza kusema kuwa,ukabila upo sana rwanda lakni tusimshutumu sana raisi Kagame kwa uamuzi huo.Hakuna anayependa mtu ambaye ni two faces,or mnafiki au traitor.
Waafrica bado tunasafari ndefu sana katka tawala na nasibu zake.
 

Umeharibu Uzi Wote Kwani Na Wewe Pia Hapo Ungejibu Kwa Kiingereza Na Siyo Kwa Hicho Kiswahili Chako. Na Nina Uhakika Hata Hicho Ulichokiweka Hapo Hujakielewa! Halafu Mwisho Nakuonya Masuala au Mambo Yoyote Yahusuyo Nchi Ya Rwanda Wewe Yaache Na Hayakuhusu Bali Jali Maisha Yako.
 
Sababu za kufukuzwa hazijawekwa wazi. Ila hiyo kwamba wakifukuzwa huwa hawabaki salama ni perception tulioijenga tu. Hata kama ilishawahi tokea kwa baadhi either kwa kukusudia au bahati mbaya, haimaanishi ndio utaratibu. Anyway, let us wait and see

Unataka kusema kuna target asassination ya bahati mbaya? Acha utani, unatetea hadi pasipoteteeka. Hivi unadhani assasinatio tena za watu waliopitia ujasusi zinapangwa leo kesho watu wanafanya.
 

Ananuka damu, anajificha kwenye maendeleo ya Rwanda, yani kuna watu wanaamini kiwa akiondoka leo Rwanda haiendelei, yani yeye ndiye ametengeneza sera na mipango chumbani kwake kisha akatoa pesa zake mfukoni kuleta maendeleo. Wenyewe wanasema watutsi wana akili sana, sasa hakuna mtu mwenye uwezo wa kuendesha nchi Rwanda nzima? Ni Kagame tu na kizazi chake!!! Duh
 

Mkuu, nijulishe hao maadui wa Rwanda, tuanze wa nje kisha wa ndani
 

Mkuu, uwe unaangalia na ni nani huwa ananzisha hizi threads mara nyingi, 99% ya threads humu zinazomchafua Kagame huanzishwa na jMali. Sasa kama wewe ni mtu msomi mwenye uwezo wa kuchambua mambo, its clearly personal hatred ya huyu interahamwe against Kagame. So i advice all peace loving Tanzanians to always read threads za huyu mtu kwa "kuchanganya na za kwako".
 

U advice all what!?.....
 
Nimejibu kwa faida ya waswahili wenzangu, sio wewe mnyarwanda mwenye degree ya international relationship kutoka chuo ambacho huwezi kukitaja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…