alafu we shangaa jinsi akina jMali wanavyojinyima raha? yaani waafrica wote kweli? alafu bado unaogopa/unakandia kwenu... lazima mtu atakuwa na lake jambo! au vipi wazee?Rwanda joins Seychelles as the only countries to scrap the requirement for all 55 African countries. TEA GRAPHIC | NATION MEDIA GROUP
By IVAN R. MUGISHA
Posted Saturday, May 28 2016 at 12:55
IN SUMMARY
- Rwanda plans to remove visa requirements for African nationals travelling to the country by 2018, as it seeks to woo more investors and tourists from the continent.
- This is in line with an African Union target of abolishing visa requirements for Africans in African countries by 2018.
- In 2013, the country relaxed its visa regime by allowing citizens of African countries transiting through Rwanda to be issued with visas upon arrival in the country. But now Rwanda wants to move one step further by abolishing the visa altogether.
Rwanda plans to remove visa requirements for African nationals travelling to the country by 2018, as it seeks to woo more investors and tourists from the continent.
This is in line with an African Union target of abolishing visa requirements for Africans in African countries by 2018.
The 2016 Africa Visa Openness Report released recently by the African Development Bank (AfDB) ranks Rwanda among 13 countries with the best African-friendly visa policies.
In 2013, the country relaxed its visa regime by allowing citizens of African countries transiting through Rwanda to be issued with visas upon arrival in the country. But now Rwanda wants to move one step further by abolishing the visa altogether.
“The plan is to have no visa requirements for African nationals by 2018, and to be among the few countries on the continent that will have abolished visas for African travellers by that time,” said Yves Butera, the spokesperson for the Rwanda Directorate General of Immigration and Emigration.
“We want to make our visa regime more accommodative for Africans; but it will depend on the outcome of studies being conducted to see how feasible it is to implement this important protocol.”
Asked whether Rwanda would consider maintaining visa charges for African countries that require Rwandans to pay for visa, Mr Butera said that, “Our goal is to be open to the continent regardless of whether other nations comply. But of course under special circumstances, we may waive this arrangement.”
The AfDB report notes that two years to the deadline, only 13 out of 55 African countries offer visas to African nationals on arrival, while only Seychelles has abolished visa requirements for Africans.
READ: Full integration tied to visa-free movement in Africa
Experts say that not many nations will be able to meet the 2018 deadline, due to fears arising from terrorism and insecurity.
Previous xenophobic attacks against fellow Africans in southern Africa and high unemployment rates in many parts of Africa have also been singled out as challenges for African nations to fully opening up
eh eh eh... jameni, sasa hapo juu ndio umeandika madudu gani? kama kuna mtu aliye kuelewa naomba ajitokeze nimlipie holiday ya kuja kutazama GORILLA week nzima na gharama zote zije kwangu! kweli JF kiboko yao...Rwanda tayari imekumbwa na msongamano wa watu wakiondoa visa watu wa nchi nyingine wataishi wapi.
Mimi Rwanda naingia na kutoka hata bila ya huo utaratibu hivyo sijui hiyo "raha" ambayo supposedly nitaipata sasa hivi inatokea wapi. Unachotakiwa kufanya ni kutushawishi tuone jinsi gani idadi ya waafrika watamiminika Rwanda kwa sababu tu hakuna visa. Do you really see a flood of south africans, kenyans, tanzanians, nigerians etc, wanakuja kwa wingi Rwanda kwa sababu mmeondoa visa? Hilo ndio swali la msingi.alafu we shangaa jinsi akina jMali wanavyojinyima raha? yaani waafrica wote kweli? alafu bado unaogopa/unakandia kwenu... lazima mtu atakuwa na lake jambo! au vipi wazee?
kwani haujuwi waafrica design zako wasivyo penda LAW & ORDER? na hapo ndipo tunapowawezea... kwa hiyo kama unataka kuja huku kufanya mambo yenu ya ajabu-ajabu hiyo sahau kabisa! acha wanaojuwa wanachokitaka wajichanganye na haguswi mtu... au taharifa huwa hauzipati?Mimi Rwanda naingia na kutoka hata bila ya huo utaratibu hivyo sijui hiyo "raha" ambayo supposedly nitaipata sasa hivi inatokea wapi. Unachotakiwa kufanya ni kutushawishi tuone jinsi gani idadi ya waafrika watamiminika Rwanda kwa sababu tu hakuna visa. Do you really see a flood of south africans, kenyans, tanzanians, nigerians etc, wanakuja kwa wingi Rwanda kwa sababu mmeondoa visa? Hilo ndio swali la msingi.
Aisee sijakuelewa kabisa pointi yako labda rudia tena. Ninachouliza ni kwamba kwani kulikuwa na demand gani kwa waafrika kutembelea Rwanda mpaka mkaona mkiondoa visa mtakuwa mmewasaidia? Mfano: Leo hii ukiondoa visa south africa sote tunakubaliana idadi ya waafrika SA itaongezeka mara dufu kwa sababu SA ni dili, lakini unadhani kuna watu watashawishika kuja Rwanda kwa sababu tu hakuna visa? Nikufahamishe kwa kuwa wewe ni mnyarwanda wa dar, maisha ya Kigali yako expensive usipime, i don't see any african atavutiwa na hiyo visa kitu alone.kwani haujuwi waafrica design zako wasivyo penda LAW & ORDER? na hapo ndipo tunapowawezea... kwa hiyo kama unataka kuja huku kufanya mambo yenu ya ajabu-ajabu hiyo sahau kabisa! acha wanaojuwa wanachokitaka wajichanganye na haguswi mtu... au taharifa huwa hauzipati?
Wana makusudi yao. Ukiondoa visa n chi nyingine zitaondoa na kutoa nafasi kwa watu wake waliojaa kumigrate nchi zingine freely! Wa nchi zingine hawataleta athali maana hakuna ardhi utakayo ikuta.Rwanda tayari imekumbwa na msongamano wa watu wakiondoa visa watu wa nchi nyingine wataishi wapi.
OK! hebu nirudie tena, kwa kifupi sababu ya kufungua mipaka yetu usifikiri ni ya kutaka kuleta watu wasio juwa watakalo! sababu kuu nikuvutia INVESTORS, TOURISTS na mazagazaga mengine... sio kama SA walikopeleka tabu badala ya taaluma! kwa kifupi kama ulikuwa unafikiri wataleta njaa zenu huku, hiyo sahau! wataishia MUTOBO! lakini kwa vile wewe huku nikwenu, umaskini wako hatuta ujari sana ila sumu zitakutoka upende usipende!Aisee sijakuelewa kabisa pointi yako labda rudia tena. Ninachouliza ni kwamba kwani kulikuwa na demand gani kwa waafrika kutembelea Rwanda mpaka mkaona mkiondoa visa mtakuwa mmewasaidia? Mfano: Leo hii ukiondoa visa south africa sote tunakubaliana idadi ya waafrika SA itaongezeka mara dufu kwa sababu SA ni dili, lakini unadhani kuna watu watashawishika kuja Rwanda kwa sababu tu hakuna visa? Nikufahamishe kwa kuwa wewe ni mnyarwanda wa dar, maisha ya Kigali yako expensive usipime, i don't see any african atavutiwa na hiyo visa kitu alone.
Mimi ni investor huko kwenu na sina tabu yoyote kwa sababu hata utaratibu wa sasa hauna shida. Ndio maana sioni ukubwa wa hili jambo. Pili get serious, hivi nani mwenye akili timamu atoke kwao ahamie Rwanda akiwa na njaa? Nyinyi na burundi ndio mnaongoza kwa kuexport njaa zenu kwa majirani.OK! hebu nirudie tena, kwa kifupi sababu ya kufungua mipaka yetu usifikiri ni ya kutaka kuleta watu wasio juwa watakalo! sababu kuu nikuvutia INVESTORS, TOURISTS na mazagazaga mengine... sio kama SA walikopeleka tabu badala ya taaluma! kwa kifupi kama ulikuwa unafikiri wataleta njaa zenu huku, hiyo sahau! wataishia MUTOBO! lakini kwa vile wewe huku nikwenu, umaskini wako hatuta ujari sana ila sumu zitakutoka upende usipende!
lol... only those who can afford and play by rules, that's all I can say! nextMimi ni investor huko kwenu na sina tabu yoyote kwa sababu hata utaratibu wa sasa hauna shida. Ndio maana sioni ukubwa wa hili jambo. Pili get serious, hivi nani mwenye akili timamu atoke kwao ahamie Rwanda akiwa na njaa? Nyinyi na burundi ndio mnaongoza kwa kuexport njaa zenu kwa majirani.
Investor..Mimi ni investor huko kwenu na sina tabu yoyote kwa sababu hata utaratibu wa sasa hauna shida. Ndio maana sioni ukubwa wa hili jambo. Pili get serious, hivi nani mwenye akili timamu atoke kwao ahamie Rwanda akiwa na njaa? Nyinyi na burundi ndio mnaongoza kwa kuexport njaa zenu kwa majirani.
Rwanda tayari imekumbwa na msongamano wa watu wakiondoa visa watu wa nchi nyingine wataishi wapi.
Kwa nchi ambayo raia wake wanashindwa kununua kondomu hadi serikali inaona iwape bure, investor wa machungwa ni mtu mkubwa sana.Investor....unauza machungwa?
Ndio maana..ulileta madafu yako huku ukakutana na magufuli original sasa umeamua kupambana nae kwenye social media ili aondoke uaanze kuleta ufisadi wako uliozoea bongo..hahaha. utasubiri sana na ukishindwa ondoka. Hapa hakuna cha msalia mtume
Kwa nchi ambayo raia wake wanashindwa kununua kondomu hadi serikali inaona iwape bure, investor wa machungwa ni mtu mkubwa sana.
Great thinker NOT
OK! stay tuned... wacha tumalizane na kufanya filtering... kabla ukabila/chuki na sera za akina jMali za ubaya-ubaya hazijaharibu maana yote ya hii threadDah! Vijembe full kwenda mbele.
Haya bana mkichoka turejelee mada na kujadili suala nzima la uondoaji wa visa kwenye nchi zetu za Afrika. Nini faida na pia adhari zake.