Labda mashamba ya mpunga hawana. Bongo tunakula vyote kwa sababu tuna ardhi kubwa ya kilimo.Hawa jamaa na viji-promo vyao vya kijingajinga hawajambo! Eti the largest consumer of wheat in EA wakati kanchi kenyewe kama wilaya ya Ushirombo.
Kwa bongo chakula cha ngano hasa tambi kinatumika sana kwa watu wenye kipato cha chini ndio maana unga wa ngano na tambi vinapatikana kwa bei rahisi kuliko mchele, mihogo na viazi. Kwahiyo hilo la kupanda kwa maisha ya wanyarwanda hadi kufikia kuona tambi ndio chakula cha kitajiri kwao ni kwa huko kwao kwa sababu hawana uwezo wa kupata vyakula vingine kwa sababu wakulima hawana ardhi ya kutosha kwa ajili ya kilimo cha mazao mchanganyiko.lol... now I understand why "life expectancy" rises dudus Konda wa bodaboda mi nafikiri hii habari inamaanisha ya kwamba maisha ya wanyarwanda yamepanda, ukiona watu wanatumia ngano sana basi ujuwe maisha mazuri! milo mitatu, breakfast, lunch na supper! hauwezi ukaagiza ngano kiasi hiki wakati watu wako wanaamkia kupasha viporo... thanks MK254 for the news
Kwa bongo chakula cha ngano hasa tambi kinatumika sana kwa watu wenye kipato cha chini ndio maana unga wa ngano na tambi vinapatikana kwa bei rahisi kuliko mchele, mihogo na viazi. Kwahiyo hilo la kupanda kwa maisha ya wanyarwanda hadi kufikia kuona tambi ndio chakula cha kitajiri kwao ni kwa huko kwao kwa sababu hawana uwezo wa kupata vyakula vingine kwa sababu wakulima hawana ardhi ya kutosha kwa ajili ya kilimo cha mazao mchanganyiko.
Mnakimbilia takwimu za who? Hah! Kumbuka tuna watu 50mil. Kwa wastani hata mchinjane vipi life expectancy itaonekana mko juu! Tanzania amani bwana kila kabila hula chakula kulingana na utamaduni na aina ya chakula kinacho limwa mahali pale! Rwanda hata mhogo ambao ni asili hawawezi tena kulima. Uhaba wa ardhi na ndo moja ya sababu za chuki zao!Sasa kama nyie matajiri wenye lishe bora, mbona hao Rwanda wamewashinda nyie kwenye life expectancy, kwa mujibu wa WHO.
Tanzania iko juu wewe, acha utetezi wa kijinga kwa sababu wakenya wenzako wametimuliwa bongo.Sasa kama nyie matajiri wenye lishe bora, mbona hao Rwanda wamewashinda nyie kwenye life expectancy, kwa mujibu wa WHO.
Acha wale tambi.Mnakimbilia takwimu za who? Hah! Kumbuka tuna watu 50mil. Kwa wastani hata mchinjane vipi life expectancy itaonekana mko juu! Tanzania amani bwana kila kabila hula chakula kulingana na utamaduni na aina ya chakula kinacho limwa mahali pale! Rwanda hata mhogo ambao ni asili hawawezi tena kulima. Uhaba wa ardhi na ndo moja ya sababu za chuki zao!
Tanzania iko juu wewe, acha utetezi wa kijinga kwa sababu wakenya wenzako wametimuliwa bongo.
Waende rwanda wakale tambi na wanyarwanda.Hahaa aisee wakenya walikuwa wanazagaa huku kitaa baada ya timuatimua siwaoni tena wanaishi kama digidigi aisee
Wako kwenye makambi ya wakimbizi ndani ya Tanzania tukiwalisha ugali na wali wetu ndio maana WHO imeona wako vizuri kiafya. Tanzania ni habari nyingine. Ukilala njaa umependa mwenyewe.Sasa kama nyie matajiri wenye lishe bora, mbona hao Rwanda wamewashinda nyie kwenye life expectancy, kwa mujibu wa WHO.
Wape vidinge vyao kaka! Tunawasaidia ila hawana shukurani!Wako kwenye makambi ya wakimbizi ndani ya Tanzania tukiwalisha ugali na wali wetu ndio maana WHO imeona wako vizuri kiafya. Tanzania ni habari nyingine. Ukilala njaa umependa mwenyewe.
Hahahaha....duh...haya mkuu.Kwa bongo chakula cha ngano hasa tambi kinatumika sana kwa watu wenye kipato cha chini ndio maana unga wa ngano na tambi vinapatikana kwa bei rahisi kuliko mchele, mihogo na viazi. Kwahiyo hilo la kupanda kwa maisha ya wanyarwanda hadi kufikia kuona tambi ndio chakula cha kitajiri kwao ni kwa huko kwao kwa sababu hawana uwezo wa kupata vyakula vingine kwa sababu wakulima hawana ardhi ya kutosha kwa ajili ya kilimo cha mazao mchanganyiko.
Tatizo ni ardhi ya kilimo mkuu. Nchi yao haina ardhi ya kilimo cha kuwatosha ndio maana wanakula tambi.Wajinga kweli duniani wengi. yaani hawa wanaona ni sifa kuongoza kula imported food!! Wanaona fahari kuacha kula viazi vitamu ambavyo ndio chakula chao cha asili!
Waache sasa kujigamba kijinga hata hela yenyewe yaku import hizo tambi mpaka waibe kongo!Tatizo ni ardhi ya kilimo mkuu. Nchi yao haina ardhi ya kilimo cha kuwatosha ndio maana wanakula tambi.
HahahahaWaache sasa kujigamba kijinga hata hela yenyewe yaku import hizo tambi mpaka waibe kongo!