Rwanda honey now available in European supermarkets

mchambawima1

JF-Expert Member
Oct 16, 2014
2,487
738

00002.jpg

Rwandan honey products will soon be available in the main super markets of Europe and Asia, two years after Rwanda secured an international standard certificate to export animal products abroad.

"We would like to market the Rwandan honey by associating it with the natural beauty of Rwanda," says Esther Su, a Singaporean investor.

Under Apiary Rwanda Ltd, a new company registered in Rwanda, Su has injected $ 3 million in honey production chain for export whereby bee farmers will be supported from equipment acquisition to harvest and packaging.

In a memorandum of understanding signed on August 17, 2015, twelve cooperatives from Gishwati, Nyungwe, Virunga and Akagera beekeeping zones committed to improve the farming so as to increase production from the current 4000 metric tons annually to 8000 metric tons annually in the next three years.

Apiary Rwanda Ltd will provide required materials for honey production, including hives and security equipment on top of training in beekeeping.

Equipment and materials needed will be given under a leasing contract or loans.

To motivate the bee farmers who are now estimated to 80,000, Apiary Rwanda Ltd will also bring a social contribution by paying school fees for their children.

"We are happy to have an investor who provides for a wide market. We will do our best to keep this market," said Tonny Nsanganira, State Minister in Ministry of Agriculture and Animal Ressources.

Nsanganira referred to a loss whereby in 2012, a few honey products that had qualified for Arab countries' market was latter disqualified following low standard treatment.

The country put in more efforts to meet standards and later on secured an international certificate to export bee products across the world.

This certificate, says Nsanganira is very difficult to secure, especially for countries in the Third World bloc.

One obtains the certificate after presenting a clean Honey Residue Monitoring Plan, which indicates that the country has measures to prevent honey residues in the products to be exported.

Rwanda's honey was tested in international laboratories, and it qualified for export to Europe.

It's up to beekeepers and their new company to keep improving in quality and quantity in a country where apiary is still traditional.

Nsanganira told this website, that there exit 90,000 hives in Rwanda. Over 70% of them are traditional with production capacity of maximum 5 kg per unit annually.

Modern hives can produce up to 100 kg per unit annually, according to the new investor. However, local beekeepers have only produced maximum 40 kg per hive, according to Nsanganira.

"We expect new knowledge from this company. This will enable us to work hard and get more returns," says Adrien Nyabyenda from Kopanyaka, a cooperative of bee keepers from Nyamasheke, Western Rwanda.

Her cooperative harvests 600 kg of honey per year and sells to local market at Rwf 2000 per kilogram.

The current price of honey on international market stands at $ 4/kg.

Source:
rwandaeye.com
 
Good for them wanasonga mbele sisi sijui tunapoteza baadhi ya masoko ya nje!, niligundua Tzanian coffee haipo tena Starbucks, an International coffee house but Kenyan and Ethiopian coffee naona bado wanayo. Sina uhakika lakini kama kahawa yetu haipo in all Starbucks shops or in just particular areas. As a Tanzanian nilisikitika kwa kweli.

MK254 msijekuwa mlituwekea mkono maana you guys are watching our every move. :wink2:
 
00002.jpg

Source:
rwandaeye.com

Makala inasema "Rwandan honey products will soon be available" mwandika jamii forums anasema "now available"!!!! kalewa propaganda za Kagame na walevi wengine wanachangia utafikiri tayari asali iko kwenye ma-supermarket Ulaya na asia na kuanza kuponda Tanzania!!!!!!!!

Kinachoniacha hoi kwa kicheko ni kuwa media zinazoandika kuhusu Rwanda kupiga hatua kwenye hiki na kile huwa ni media za Rwanda yenyewe au za wanyarwanda walioko nje .Wanajitekenya na kucheka wenyewe.Hiyo habari imeandikwa na RWANDAYE.COM ya wenyewe wanyarwanda.Wanajihutubia na kujipigia makofi wenyewe
Kwa hiyo picha iliyopo ndio hiyo asali iko kwenye supermaket ulaya???!!! ILIVYO CHAFU CHAFU HIVYO na kuwekwa kwenye madebe ya kuuzia gongo machafu hayo package uchwara hiyo supermakert gani itachukua?
 
Hehehe!! kui niliona sehemu eti mmeacha kununua pipi zetu sasa kwamba mnazalisha nyie wenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Makala inasema "Rwandan honey products will soon be available" mwandika jamii forums anasema "now available"!!!! kalewa propaganda za Kagame na walevi wengine wanachangia utafikiri tayari asali iko kwenye ma-supermarket Ulaya na asia na kuanza kuponda Tanzania!!!!!!!!

Kinachoniacha hoi kwa kicheko ni kuwa media zinazoandika kuhusu Rwanda kupiga hatua kwenye hiki na kile huwa ni media za Rwanda yenyewe au za wanyarwanda walioko nje .Wanajitekenya na kucheka wenyewe.Hiyo habari imeandikwa na RWANDAYE.COM ya wenyewe wanyarwanda.Wanajihutubia na kujipigia makofi wenyewe
Kwa hiyo picha iliyopo ndio hiyo asali iko kwenye supermaket ulaya???!!! ILIVYO CHAFU CHAFU HIVYO na kuwekwa kwenye madebe ya kuuzia gongo machafu hayo package uchwara hiyo supermakert gani itachukua?

Kwa bahati mbaya haya ndio mawazo ya Watanzania na si ajabu ni viongozi. Unategemea media zipi zitangaze mambo yako kama za kwako mwenyewe zimeshindwa?!

Mfano una duka la dawa..usiweke bango la kuonyesha kuna duka, usubiri wanunuzi waje wakuwekee bango!
 
Anayeweza toa sifa ya ukweli kuwa bidhaa kuwa ni nzuri sana ni mnunuzi si muuzaji!! Muuzaji aweza sifia hata takataka kuwa ni bidhaa bora!!!!!
 
Tz inazalisha wastani wa Tani 30,000 za asali kwa mwaka na nta tani 600. Makadirio ya uzalishaji ni tani 238,000 kwa mwaka. 1991 asali ya Tz ilikuwa Certified as 100% Organic in UK. Tatizo kubwa la asali yetu ni utunzaji wake. wafugaji wengi hawatumii vyombo vipya (ndoo na mapipa) kuhifadhia asali, bado wanaamini mizinga ya kienyeji wakati haidumu na uzakishaji wake mdogo, kibaya zaidi sio waaminifu. wale wachache waaminifu wanaearn mpaka 80mil per year. Potential ya uzalishaji na soko kwa asali na nta ya tz ipo kubwa sana tu, ila je tunapeleka bidhaa yenye ubora gani sokoni?
 
Vilevile, hao Rwanda, Burundi na Uganda ni wanunuzi wakubwa wa asali ya Tz maeneo ya Kibondo, Kakonko na Biharamulo. Ikifika kwao inakuwa Re-filtered na wanaipaki vizuri tu. Bado watz tuna safari ndefu sana ya mabadiliko.
 
Biashara ghafi ipo duniani kote.Kuna vitu vingi tu ambavyo hata marekani husafirisha kwenda China,ulaya n.k ambako hufanyiwa packaging na kuuzwa nchi zingine.Mfano vyakula, komputa,magari,n.k

Vitu vingi huangaliwa ikiwemo gharama za uzalishaji,n.k Ukiwa na asali yako ambapo kila mtu mfano ana mzinga yaweza kuwa rahisi kuuza uganda ikiwa ghafi kuliko upack mwenyewe baada ya kununua vifungashio ulaya uvisafirishe hadi kigoma halafu uajiri watu wa kupack kisha usafirishe Uganda! Faida yaweza liwa yote ukauza kwa hasara.

Wakulima wengi wa marekani husafirisha mazao ghafi kwenda mexico ambako hufanyiwa packaging n.k kisha kurudishwa kuuzwa marekani au kusafirishwa nchi zingine kutokea Mexico na wamarekani au wafanyabiashara wa Mexico wanunuzi wa mazao toka marekani.Kinachoangaliwa ni faida.Uuuze ghafi au ikiwa refined unapata faida? Na biashara ya kimataifa ukitaka faida yote ubebe wewe hutaweza kuifanya.Kila hatua lazima uache kiasi kwa mwingine.Vinginevyo mazao yatakuozea shambani na hiyo asali utakula mwenyewe
 
Makala inasema "Rwandan honey products will soon be available" mwandika jamii forums anasema "now available"!!!! kalewa propaganda za Kagame na walevi wengine wanachangia utafikiri tayari asali iko kwenye ma-supermarket Ulaya na asia na kuanza kuponda Tanzania!!!!!!!!

Kinachoniacha hoi kwa kicheko ni kuwa media zinazoandika kuhusu Rwanda kupiga hatua kwenye hiki na kile huwa ni media za Rwanda yenyewe au za wanyarwanda walioko nje .Wanajitekenya na kucheka wenyewe.Hiyo habari imeandikwa na RWANDAYE.COM ya wenyewe wanyarwanda.Wanajihutubia na kujipigia makofi wenyewe
Kwa hiyo picha iliyopo ndio hiyo asali iko kwenye supermaket ulaya???!!! ILIVYO CHAFU CHAFU HIVYO na kuwekwa kwenye madebe ya kuuzia gongo machafu hayo package uchwara hiyo supermakert gani itachukua?

Ndugu yangu mi nimeamua siku hizi kuwajibu hawa watu nikiwa sina kabisa kitu cha kufanya, vinginevyo ni kupoteza muda. Hivi mantiki ya kusifia nchi nzima ni nini wakati kampuni inayouza hapo ni kampuni binafsi tena sio ya mnyarwanda wala mwafrika mashariki bali 100% msingapore? Bidhaa za Bakhresa zinapatikana kenya, uganda, rwanda, zambia, mozambique...., same applies kwa Mohammed enterprises etc, hivi itaingia akilini kuisifia TANZANIA nzima kuwa eti "imepiga hatua" badala ya Bakhresa na Dewji wenye mali zao?
Yani mfano Google east africa yenye makao makuu kenya, ikifungua matawi ya Google Tanzania na Google Burundi,
badala ya kusifiwa wenye Google, watu waanze kuipamba Kenya? Hizi kweli akili?
Anyway nasubiri tu, dili likishatiki na fedha kuanza kuingia, muda si mrefu serikali itamlazimisha huyu mama atoe shares kwa makampuni ya RPF, akizingua atafilisiwa kama kawa na kampuni itakuwa ya RFP mazimaa,....
 
Biashara ghafi ipo duniani kote.Kuna vitu vingi tu ambavyo hata marekani husafirisha kwenda China,ulaya n.k ambako hufanyiwa packaging na kuuzwa nchi zingine.Mfano vyakula, komputa,magari,n.k

Vitu vingi huangaliwa ikiwemo gharama za uzalishaji,n.k Ukiwa na asali yako ambapo kila mtu mfano ana mzinga yaweza kuwa rahisi kuuza uganda ikiwa ghafi kuliko upack mwenyewe baada ya kununua vifungashio ulaya uvisafirishe hadi kigoma halafu uajiri watu wa kupack kisha usafirishe Uganda! Faida yaweza liwa yote ukauza kwa hasara.

Wakulima wengi wa marekani husafirisha mazao ghafi kwenda mexico ambako hufanyiwa packaging n.k kisha kurudishwa kuuzwa marekani au kusafirishwa nchi zingine kutokea Mexico na wamarekani au wafanyabiashara wa Mexico wanunuzi wa mazao toka marekani.Kinachoangaliwa ni faida.Uuuze ghafi au ikiwa refined unapata faida? Na biashara ya kimataifa ukitaka faida yote ubebe wewe hutaweza kuifanya.Kila hatua lazima uache kiasi kwa mwingine.Vinginevyo mazao yatakuozea shambani na hiyo asali utakula mwenyewe

Nadhani kitu kinachotuangusha watanzania ni kwamba tunakosa taarifa za masoko bora hasa ya nje.

Tanzania asali ipo nyingi sana, sema sisi wenyewe hatuna muamko wa matumizi ya ndani na hata kutuma nje.

Ukienda singida na Tabora watu hadi wanamwaga asali.
 
Biashara ghafi ipo duniani kote.Kuna vitu vingi tu ambavyo hata marekani husafirisha kwenda China,ulaya n.k ambako hufanyiwa packaging na kuuzwa nchi zingine.Mfano vyakula, komputa,magari,n.k

Vitu vingi huangaliwa ikiwemo gharama za uzalishaji,n.k Ukiwa na asali yako ambapo kila mtu mfano ana mzinga yaweza kuwa rahisi kuuza uganda ikiwa ghafi kuliko upack mwenyewe baada ya kununua vifungashio ulaya uvisafirishe hadi kigoma halafu uajiri watu wa kupack kisha usafirishe Uganda! Faida yaweza liwa yote ukauza kwa hasara.

Wakulima wengi wa marekani husafirisha mazao ghafi kwenda mexico ambako hufanyiwa packaging n.k kisha kurudishwa kuuzwa marekani au kusafirishwa nchi zingine kutokea Mexico na wamarekani au wafanyabiashara wa Mexico wanunuzi wa mazao toka marekani.Kinachoangaliwa ni faida.Uuuze ghafi au ikiwa refined unapata faida? Na biashara ya kimataifa ukitaka faida yote ubebe wewe hutaweza kuifanya.Kila hatua lazima uache kiasi kwa mwingine.Vinginevyo mazao yatakuozea shambani na hiyo asali utakula mwenyewe

Mkuu, majirani zetu wameshajua wa tz wanapokutana na hela wanapoteza uwezo wa kufikiri. ndoo ya asali ya masega wanauza 50,000tsh, bila kujua wanauza products mbili kwa wakati mmoja (asali na nta). Vifungashio vinapatikana hapahapa Tz, na gharama za uzalishaji wa asali kwa hapa nyumbani ni za chini sana (ni 15,000 hadi20,000tsh kwa kila ndoo ya kilo 26, na kwa beiya ndani, 1kg ni kati ya sh 6,000 hadi 12,000) Wanachokifanya wanawatangulizia hela kabla ya uvunaji wa asali ili msimu ukifika wajipangie bei. Tamaa za hela ya fasta ndo zinaponza sana watz.
 
Back
Top Bottom