Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 20,545
- 22,468
Itoshe kusema Ruvuma, Songea na viunga vyake wameidhihirishia nchi kwamba CCM ndio tegemeo la uongozi wa nchi hii, na Dr.samia Suluhu Hassan ndio tumaini pekee la uongozi wa juu nchini Tanzania kuelekea 2035.
waTanzania katika makundi yao, wazee wa kimila, vijana na watoto, wakulima, wafugaji, wafanyakazi, wafanyabiashara na makundi mengine mbalimbali, walijumuika kwa wingi kumlaki rais na kumpongeza kwa dhamira yake njema ya kuwaletea wanainchi maendeleo ambayo yanaonekana mchana kweupe na wanayafurahia sana, kwenye maeneo ya afya, maji, elimu, miundombinu, kilimo, biashara, ufugaji, umeme, amani , utulivu, ulinzi na usalama n.k
Kwa umati na hamasa ya kipekee sana waliokua nayo watu wa Ruvuma na Songea, ni wazi CCM ina nguvu mno nchini, ushawishi na mipango yake ya kimageuzi, chini ya Rais na kipenzi cha waTanzania Dr.Samia Suluhu Hassan, ndio pekee inayoeleweka, inayominika na kukubalika na waTanzania wote nchini.
Ni muhimu sana kwa waTanzania wotw maeneo mengine nchini, kuendelea kuiunga mkono CCM na kumsikiliza kwa makini kiongozi wetu huyu wa kitaifa na kumuamini zaidi Rais Dr.Samia Suluhu Hassan, kwani ndie pekee agenda ya Taifa, ya waTanzania kuelekea uchaguzi mkuu 2025.🐒
Mungu Ibariki Tanzania