LGE2024 Ruvuma: Ado Shaibu ashiriki zoezi la kupiga kura uchaguzi serikali za mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Nov 17, 2023
1,270
3,542
Wakuu,

1732705559034.png


Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amepiga kura katika kituo cha Gharani Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa katika kata ya Mchangani.

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
 
Shida hawa ACT haijulikani ni kama ni moto maana wako vuguvugu wakati wa uchaguzi. Baada ya uchaguzi wanakuwa baridi.
 
Back
Top Bottom