Ruvu kuna zao gani la msimu kwa sasa?

MwanawaMUNGU41

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
1,036
737
Bila shaka mko vizuri,naomba kujua zao gani la msimu kwa sasa,na je msimu wa matikiti ni lini?nataka kuanza mara moja asanteni kwa msaada wenu shamba la kukodi nimepata huko Ruvu!!na je mboga mboga zinalipa?
 
Hii ni ajali kubwa Kuliko zote.Yaani unatafuta Shamba bila minus unataka Kulima Nini!!Hats kucheki Wizara ya Kilimo zile crops suitability huwezi.Sasa ukiambiwa Lima Ba-ngi utakubali?Na mwisho ukilima utarudi tena Kuuliza Soko Liko wapi?Invisible web ya Wizara ya Kilimo,www.kilimo.go.tz, Tafuta Ramani inayoonesha mazao yanayolimwa wilaya hiyo,cheki bei zake sokoni,trend ya mwaka mzima, profitability,Nk.
 
Mpango wangu ni kulima matikiti lkn msimu wake bado ndo maana natafuta zao la kipindi hiki wakati nasubiri,kwani ungejibu tu bila kuonyesha madharau ungepungukiwa nn mkuu? Mara bangi mara nn,wabongo bwana!!
 
Kaka Ruvu si kuna mto? Kwa maana Hiyo unafanya kilimo cha umwagiliaji sasa msimu unatokea wapi? Wewe piga kazi utoe tikiti March upige hela maana kipindi hiki ambacho wengi hawalimi ndio bei zinakuwa juu maana linakuwa hadimu sokoni
 
Akilima tikiti mwezi machine huko Ruvu utamsaidia kuweka MATANGA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…