Ruto: Nilitumia pesa kidogo kwa ziara yangu ya Marekani
Rais Ruto: Ndege yangu kwenda Marekani iligharimu chini ya KSh. milioni 10. Hakuna njia ambayo naweza kutumia Ksh. milioni 200. Mimi ni muwajibikaji. Mimi si mtu mwenye wazimu. Lazima niongoze kutoka mbele na mjadala huo lazima umalizike.
======
President Ruto: My plane to the United States cost less than Ksh.10 million. There is no way I can spend Ksh.200 million. I am a responsible steward. I am not a mad man. I must lead from the front and that debate must end