Tinde nsalala
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 248
- 253
Pole kwa kijana alie jipanga kijasiliamali zaidi.... asichoke wala kukatishwa tamaa.... policcm mi siwaamini hata kdg.... intelejensia yao inaishia kwa wapinzani tu....
Km unavyoelewa,askari wetu huwa km wamechanganyikiwa mara viongozi wao wawapo na ziara ktk maeneo yao ya kazi.Binafsi,hadi tunaondoka (Msafara) kuelekea upande wa Rwanda walipokuwa wanakutana IGP wetu na RWANDA sikuona hatua zozote za haraka zilizochukuliwa na askari wetu.Kuhusu afya ya majeruhi pia sina hakika juu maendeleo yake.Kwa mjibu wa afisa wa TRA sitaki kumtaja jina kijana yule kaumizwa sana!Inamaana polisi walishuhudia tukio lakini hawakuchukua hatua yoyote? Au walikuwa hawana habari wapo busy kumlinda IGP?
Hatua 100 ni umbali mfupi sana. Hao polisi waliompotosha IGP walimuambia nini kuhusu kelele za watu waliokuwa wanaenda kushuhudia huo uhalifu?
Je huyo kijana aliyevamiwa amepona?
Niamini ndg.Vinginevyo,fanya utafiti wako kuhusu hili.Sina uhakika na hiyo taarifa. Hatua mia ni ndogo sanaa huyo dogo hata angeweza kupiga kelele akasikika
Mm ni mkemia ndg yangu."...tumehudhunishwa, mshauli, ocid, mashushu, kutukia, kipangamizi, AJABU lingine"
Mapema leo asubuhi IGP Mangu alikuwa mpakani mwa Tz na Rwanda (Rusumo).Lkn kuna tukio la kusikitisha sana na ni la kutia AIBU mno jeshi la polisi!
Akikagua jengo la kilipokuwa kituo cha polisi zamani km hatua 100 tu kijana mmoja mbadilisha fedha alivamiwa na kukatwa katwa mapanga huku askari wakiwepo jirani kabisa na vibaka hao kutokomea kusikojulikana!AIBU!
Mm pamoja na wenzangu tuliokuwa ktk msafara huo tumehudhunishwa sana na jambo hilo!Najiuliza,km mbele ya IGP,mkuu wa wilaya,mshauli wa mgambo wa wilaya,ocd wa wa eneo husika na ocid wake,mashushu walio kuwa eneo hilo na bado tukio la AIBU km hilo limeweza kutukia?!AIBU!
Sasa km vibaka wameweza kufanikiwa kufanya uhalifu tena bila kipangamizi chochote na mbele ya mkuu wa hawa wadhibiti uhalifu (IGP) .....
AJABU lingine hadi IGP anaondoka eneo husika hakufahamishwa kuhusu tukio hilo.Kuna wakati alishtuka na kuhoji idadi ya watu waliokuwa wanakimbia kuelekea eneo la tukio lkn alipotoshwa!
Hii ni hatari sana!Si kwa RAIA na mali zao pekee bali na kwa usalama wa IGP mwenyewe.Km wahalifu wanaweza kufanya jambo la AIBU hivyo na karibu kabisa na eneo alilopo ni hatari hata kwa usalama wake.
Nimehudhunishwa na kusikitishwa sana na AIBU hii!
Wewe ni muongo mita 100 nikidogo sana tena eneo lililo na watu unless uniambie ni porini!!!
Wewe ni muongo mita 100 nikidogo sana tena eneo lililo na watu unless uniambie ni porini!!!
Ya kwangu ni kwamba hatua 100 ni eye sight hivyo mleta taarifa ni muongo! Pia yeye alichukua hatua gani kama yuko kwenye msafala...Leta hiyo ya kwako ya ukweli basi.