Yan kaswkunde kamoja, lenyewe tayari lipo umbali wa kilomita saba!7km per second si mchezo
Mrusi yeye anatengeza S-500, USA yeye yupo busy kutengeneza kifaa cha kuzuia hilo li rocket lisilipuke, au kuligeuza uelekeo lirudi lilipotoka!
acha kutuongopea mkuu,hakuna technologia iyo ya kurudish kombora lilipotok bali una uwezo tu wakulitungua kulingana na speed ya kombor na uzito wakeMrusi yeye anatengeza S-500, USA yeye yupo busy kutengeneza kifaa cha kuzuia hilo li rocket lisilipuke, au kuligeuza uelekeo lirudi lilipotoka!
MkuuHivi hii utaizidi kombora laMarekani alilokamilisha uundaji wake lenye speed ya sauti..ni kama 3000+ km per hour.
Mkuu
3000 km/hr = 0.833 km/sec.
Maana yake ni kwamba hilo kombora lipo within the speed range ya kulipuliwa na S500.
MkuuUrusi anga lake wanalilinda sana,awali wakati wanatoa S-300,hiyo S-500 walisema itakuwa katika operational(kukamilika kuundwa) mwaka 2025,sasa sijui ni kitu gani kilichopelekea kukamilika kuundwa mapema zaidi.Na watengenezaji wa haya makombora zinakuwa kampuni binafsi? maana katika maelezo wanasema aerospace force watanunua tano hadi mwaka 2025,hiyo imekaeje.Na vipi USA akaitaka,naye atauziwa au haitawezekana kuuziwa.
Hivi hii utaizidi kombora laMarekani alilokamilisha uundaji wake lenye speed ya sauti..ni kama 3000+ km per hour.
Jamaa airspace yao haipenyeki