Urusi yapeleka Manowari zake za kivita Cuba. Wamarekani wachanganyikiwa

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
11,348
20,129
Katika hali inayoelekea kuwachanganya wamarekani Urusi imetuma manowari zake zaidi ya 8 katika pwani ya marekani nchini Cuba sababu ikitajwq ni maandalizi ya mazoezi ya pamoja.

Hii ni mara ya kwanza kwa urusi kupeleka meli za kivita kwa kiwango hiki katika nchi ya Cuba. Wakati huo huo rais Putin anasema Urusi itaanza kutoa silaha za maangamizi kwa nchi zote ambazo ni maadui wa marekani hasa nchi za America ya kusini, North Africa , Iran na Far east.

Kwa mtazamo wa kiuchambuzi haya maandalizi ya Vita ya dunia ambayo kama marekani atalazimisha itokee basi safari hii tutashuhudia mabomu yakidondoka katika ardhi ya marekani.

Screenshot_20240606_230533_X.jpg
Screenshot_20240606_230600_X.jpg
 
The right word is unprecedented! Ni wazi Urusi imegeuza nchi yake kuwa karakana ya kuzalisha silaha.

Kuna jambo wameshaliona mapema ambalo pengine sie hatulioni. Na wala haliwezi kuwa ishara njema kwa mustakabali wa dunia.

^We come bearing gifts!^ so they say.
 
Serikali ya Cuba imethibitisha uwepo wa nyambizi tatu za nyuklia Nchi humo hii inafuatia kauli ya Rais dhaifu wa Marekani Joe Biden kutaka Ukraine ishambulie Russia kwa silaha za Marekani. Ikumbukwe CUBA Hadi US mailand ni kilometers 400 tu.. ⚠️🚨#BREAKING : Cuba confirms the arrival of three Russian ships and a nuclear submarine in a week.
 

Attachments

  • IMG_20240607_042651.jpg
    IMG_20240607_042651.jpg
    136.3 KB · Views: 3
#BreakingNews‌ 🇨🇺☢️🇷🇺
Three #Russian Navy ships and a nuclear-powered submarine will arrive at the Port of Havana for an official visit next week, the #Cuban armed forces said in a statement, confirming the military exercises first disclosed by U.S. officials on Wednesday.
#WW3
 

Attachments

  • IMG_20240607_043936.jpg
    IMG_20240607_043936.jpg
    155.9 KB · Views: 2
🇷🇺RUSSIA TO U.S: YOU WILL "DEEPLY REGRET" THIS...

Russian FM:

"Whoever allows Russian territory to be attacked will deeply regret it."

U.S Official:

"The president recently directed his team to ensure that Ukraine is able to use U.S. weapons for counter-fire purposes in Kharkiv so Ukraine can hit back at Russian forces hitting them or preparing to hit them."

Source: Sputnik
 
Ndo kusema kaenda kupambana na Baden kupitia cuba
Biden katangaza vita sasa kasogezewa War machine jirani aseme nazo.

🇷🇺PUTIN: ANY WEAPONS SUPPLIED TO UKRAINE TO STRIKE INSIDE RUSSIA IS AN ACT OF WAR

🇺🇸BIDEN: WE TOLD UKRAINE NOT TO STRIKE MOSCOW - WHAT MORE DO YOU WANT?

Reporter:

"Putin says supplying weapons to Ukraine to strike inside Russia is direct participation in the war... does that concern you?"

Biden:

"I've known him for over 40 years. He's concerned me for over 40 years.

He's not a decent man. He's a dictator.

We're not giving Ukraine weapons to strike Moscow...
just across the border where we are seeing significant fire."

Source: @RNCResearch, ABCNews
 
Sasa Cuba naye ana nini kwa sasa?.

Wananchi wake wanaishi kwa dhiki mno kisa kukumbatia maslahi ya viongozi wao badala ya Nchi.

Mifumo yote ya kibenki na fedha kwa ujumla imekufa na watu fedha zao zimebebwa, hatukusikia Russia wala China wakipeleka misaada ya hali na mali ikiwemo teknolojia ya kisasa.

Badala yake tunaona akitengenezewa mazingira ya kutaka Taifa lake ligeuke shimo la tewa kwa kutumika kama sehemu ya mauaji ya halaiki.

Cuba kwa sasa haina maisha, ni nchi ya ulimwengu wa tatu, vikwazo alivyowekewa na USA vimewafanya wananchi kuishi kama "mashetani" na ningewaona watu wa maana kama wangetafuta kutatua shida zao kuliko kutaka shali kwa Taifa ambalo hata jimbo lake moja tu linatosha kuwafuta.
 
Back
Top Bottom