Russia ya wahifadhi raia wanaokimbia kuuwawa na magaidi yanaodhaliwa na Israel huko Sryria

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
12,472
39,368
LATAKIA: SYRIA Russia imeruhusu raia wa jamii ya Alawite wanaokimbia mauaji ya Utawala wa Magaidi uliosimikwa na kufadhiliwa na Israel kuingia ndani ya kambi ya Jeshi Khmeimim Air base Latakia

🚨🇷🇺🇸🇾 Russian Federation Troops at Russia's Khmeimim airbase, Latakia region, has opened its doors for thousands of Alawite civilians..pichani ni gaidi lililowekwa na Israel lioongoze Syria baada ya Asad kuenda uhamishoni.
IMG_20250308_212345.jpg
 
Attachments

  • IMG_20250308_212033.jpg
    IMG_20250308_212033.jpg
    140.1 KB · Views: 2
  • IMG_20250308_213135.jpg
    IMG_20250308_213135.jpg
    116.8 KB · Views: 2
🔴 An important and urgent appeal to all human rights and human rights organizations

Multinational terrorist ISIS elements are killing the people of the Syrian coast in cold blood and all the victims are civilians in an unprecedented ethnic cleansing operation and they do not differentiate between a child, a woman or an elderly man. They enter homes, kill those inside them and then steal what is inside the homes. The perpetrators belong to the terrorist organization of Abu Muhammad al-Julani, which the world has appointed as the president of the Syrians and he is still classified on the blacklist of terrorism.
 
Attachments

  • IMG_20250308_213728.jpg
    IMG_20250308_213728.jpg
    207.8 KB · Views: 2
  • IMG_20250308_213450.jpg
    IMG_20250308_213450.jpg
    37 KB · Views: 2
  • IMG_20250308_213739.jpg
    IMG_20250308_213739.jpg
    70.3 KB · Views: 2
Ni

Nilijua MWANAUME atatokezea tu.
Tatizo wanaua kizazi hawachagui mtoto, mama, baba, wazee na sababu kubwa ni kwamba kipindi cha Asad jamii ya Alawite ambao wengi wao ni Christian waliishi kwa amani zaidi kwa kulindwa na Serikali sasa haya Magaidi ya ISIS toka Israel ndio yamewekwa hapo iliyatawale Syria..ila Russia na Iran wanaweza fanya kitu ikiwa ni pamoja na kuigawa Syria ili Alawite wabaki huru
 
wazenj wanajifunza nin hapo ? Kila unamkosoa mama wao wanadandia kana kwamba watu wanajali uzenji wake , ifike muda tujifunze kutoka kwa wenzetu. hao alawite ni haki yao wapitishiwe kile wasyria wengine wamepitia maana walikuwa hawajali kuhusu taifa wao wanajali kuhusu mtu wao kubakia madarakani
SHENZ KBS HAO ALAWIT
 
Hizo ni propaganda za masjid ubwabwa tu Israel hawawezi kabisa kuwaua wakristo bali wenye kuweza kufanya mauaji ya kinyama namna hiyo waga ni vile vikundi vya kigaidi vya kiislam na dunia nzima inafahamu hilo.
 
Tatizo wanaua kizazi hawachagui mtoto, mama, baba, wazee na sababu kubwa ni kwamba kipindi cha Asad jamii ya Alawite ambao wengi wao ni Christian waliishi kwa amani zaidi kwa kulindwa na Serikali sasa haya Magaidi ya ISIS toka Israel ndio yamewekwa hapo iliyatawale Syria..ila Russia na Iran wanaweza fanya kitu ikiwa ni pamoja na kuigawa Syria ili Alawite wabaki huru
Nimepata somo
 
Back
Top Bottom