said reuben
Member
- Dec 22, 2018
- 62
- 28
Leo nimeenda hospital amana kuna doctor ukiingia chumba cha daktari ukimueleza anakuskiliza na Anakuandikia vipimo lakin ela unampa yeye nimeshangaaa maana ela kuna wakala wa nmb inabidi ukalipe bhass kwa haraka haraka mm na mwenzangu kachukua elfu 40 ya vipimo yani imeingia mfukoni kwake sio kwa serikali sasa napata kwa siku nzima anaondoka na shilingi ngap