Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,518
- 4,029
Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa imefanikiwa kununua bunduki moja na kuanza kufanya msako wa kuua Mbwa, wanaozurura mitaani kiholela na kufanikwa kuua Mbwa 84 huku kundi la Mbwa 22 ambao walisababisha vifo vya watoto wawili wakiuawa kwa risasi.