RPC Simiyu asema Pendo aliyedai kutumwa kumuu Luhaga Mpina hakuwa Askari wa JWTZ bali Mgambo

Akiwa mgambo akipiga mtu Risasi inakuwa haiui mtu sio! Huyo mkuu wa polisi anaelewa hoja hapo ilikuwa nini au hajui mgambo na Jwtz ni jeshi Moja tofauti mgambo ni jeshi la Akiba!? Huyo ndio katibu wa kamati ya ulinzi na usalama hajui tofauti ya polisi, mgambo na Jwtz na wala hajui madhara ya mgambo. Shenztype
 
Mgambo na jwtz hawawezi kua jeshi moja kwa kigezo cha jeshi la akiba
 
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Simiyu, amethibitisha kwamba Binti Pendo Paul aliyedai kupewa kazi ya kumuua Mbunge Mpina hakuwa Askari wa JWTZ kama alivyojitambulisha bali alikuwa amepitia mafunzo ya Mgambo zaidi sikiliza Video hii.

View: https://youtu.be/gTzupuaYy7c?si=_wUYi4xRIAVxOMpi

Alisema alishawahi kupitia mafunzo ya JKT miaka miwili kwa maana hiyo kwa sasa alikuwa uraiani. Hakusema yeye ni ni askari wa JWTZ.
Kwanini akamtwe yeye ambapo alikuwa antoa siri na sio yule aliyetajwa kwa jina la Mabuga kwamba ndio alimtuma?
 
Back
Top Bottom