Torra Siabba
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 269
- 332
Jana nimeona Kamanda wa Polisi Mwanza SACP MUTAFUNGWA akielezea kupiga marufuku mikusanyiko ya Chadema hapa Mwanza.
Nikakumbuka Wiki kadhaa nyuma kuna mfanya biashara aliripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha mpaka leo jeshi hilo pamoja na Intelijensia waliyonayo ya kung'amua mambo hawajatuambia alipo mfanya biashara yule.
Ila intelijensia yao imewaambia mapema eti Chadema wanaandaa mikusanyiko kiukweli haya ni Maajabu🤣🤣.
Nadhani wangetumia muda huo kutuambia alipomfanyabiashara wetu, hivi anajua Familia wanapitia wakati gani? Aache mbwembwe