Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,229
- 4,226
Rose Muhando dawa yako iko jikoni inachemka siku sio nyingi utainywa.
Huyu muimbaji Rose Muhando pamoja na kujisifu kuwa ni mcha Mungu kumbe ni mwizi. Dhambi hii uliyoifanya kwa Michael Jackson itakuchoma hapa hapa duniani kupitia Team nzima ya usimamizi wa kazi za Michael Jackson.
Baada ya kazi ya utunzi wa nyimbo za injili kukushinda ukaona afadhali uibe wimbo wa Michael Jackson - "Will You Be There" ukausampo na producer wako mjinga asiyefahamu makucha ya Wamarekani yalivyomakali mkadanganyana mtengeneze Rose Muhando - "You Are My Mountain"
Ninyi watu mnaojinadi kuwa wacha Mungu ndio mnaongoza kwa maovu mabaya yanayowashinda Wapagani. Rose nakupa taarifa kuwa Marekani huwa hawaibiwi fanyeni ujinga wenu wabongo kwa wabongo kuibiana kazi za sanaa lakini usithubutu kugusa Marekani utapigwa faini ambayo inalingana na bajeti ya nchi au utaozea jela mwizi wewe.
Team ya Michael Jackson itakushikisha adabu hivi karibuni. Ulishindwa kutunga wimbo si bora ungeimba Taarabu au Singeli? Mlokole Jambazi wewe huna haya? Una aibisha walokole wenzako.
Aliyeibiwa: Michael Jackson - "Will You Be There"
Ushahidi:
Mwizi: Rose Muhando - "You Are My Mountain "