A
Anonymous
Guest
Maji hayatoki, pia wakala wa huduma za nishati na umeme vijijini hawatoi majibu ya kueleweka kuhusu wananchi ambao bado hawajapata huduma ya umeme, walifanya survey mwezi Machi mpaka sasa Septemba hawajarud tena.
Ukifatilia kwenye ofisi zao hawatoi majibu ya kuridhisha wanasema subirini uchaguzi ufike.
Ukifatilia kwenye ofisi zao hawatoi majibu ya kuridhisha wanasema subirini uchaguzi ufike.