Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,534
Mungu anisamehe tu.
Huyu mzee si anatoa wapi hela huyu.
Huyu mzee yupo mbioni kuwekeza kwenye mawasiliano maana anataka kufungua kampuni yake ya mawasiliano ya Azam
Picha hizo hapo nchini ni mali zinazomilikiwa na Said Salim Bakhera.
Swali langu ni moja tu.
HUYU HELA KATOA WAPI?
ALIANZAJEANZAJE MPAKA KAFIKA HAPO ALIPO SASA?
AU NI FREEMASON??
UTAJIRI WAKE NI HALALI AU NGUVU ZA GIZA?