bioto
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,261
- 2,097
RIWAYA: MERISA - JINI MWITU
MTUNZI: ZAYNAB TALY
Zaynab Taly ni mwandishi chipukizi ambaye ndotozake ni kuja kuwa mwandishi mkubwa katika nchihii. Wapo waliokwisha msoma kazi zake na wapoambao bado hawajamsoma mwanadada huyu. Kwa kuwa Jamvi la Simulizi za Kusisimua ni pageambayo pia inapenda kuinua vipaji vya waandishiwachanga na wanaochipukia, juma hili tumechukuakazi ya mwanadada huyu na kuiweka hapa iliiwaburudishe. Basi ndugu msomaji, unapomaliza kusoma toakomenti yako, wapi aboreshe, nini aongeze.
Pia waweza kutembelea page yake kwa kubofya link pale chini.Tumkaribishe Zaynab.
SEHEMU YA I
Ulikuwa usiku wa furaha,faraja,amani na ndelemokwa wapenda nao wawili Gabriel na Irene .Ambaowalipenda siku ya leo waitangazie dunia kuwabaada ya muda mfupi watakuwa mke na mume,yotealiyafanya kijana geb baada ya kusubiri nakuangaika kwa muda mrefu akimtafuta mpenzi wakeanna ambaye ndio msichana aliyekuwa chaguosahihi la moyo wake kwa wakati ule.Ila leo aliamuakumsahau kabisa anna na kuamua kumuoaIrene.shamrashamra za maandalizi ya mwisho juuya shughuri ile ya utambulisho zilizidi kupambamoto hatimaye wageni waalikwa kuwasiliwakiwemo ndugu jamàa na marafiki wa Irene na Geb.
Kwa upande wa Geb alikuwa akimsubiri kwahamu kubwa mgeni wake rasmi aliyemualika katikahafla ile fupi ili aweze kutumbuiza jukwaani katikasherehe ile,Nusu saa ilikatika wageni wote walikuwawamekwisha wasili katika shughuri ile isipokuwamgeni ambaye Geb alimsubiri kwa hamu iliawezekufungua hafla ile kwa kutumbuiza kwa mashairi yake mazuri ambayo yaliweza kupambwa zaidi nakwa uzuri kupitia sauti nyororo ya mwanadada huyona kumfanya kila msikilizaji wa mashairi yakekupatwa na hisia za kweli juu ya manenoyatolewayo.
Wakati bado Geb anatafakali nikitu ganichaweza kuwa kimempata rafiki yake kipenziambaye kwake alikuwa kama mgeni rasmi katikahafla ile mara mlango ulifunguliwa na kuwa wazikabisay hakuonekana mtu kuingia punde mpakazilipo pita sekunde kadhaa, alikuwa msichanamrembo aliyevalia gauni jekundu lililo buruza mpakachini na viatu virefu alivyovaa ndio vilikuwa msaadatosha wa kupunguza urefu wa gauni lile aliziwekanywele zake vizuri kwa kuzishikilia barabara katikakichwa chake nakuwa mfano wa kofia uso wakeulipangiliwa vyema make up zake nakumfanya azidikuvutia zaidi mbali na uzuri aliokuwa amejaaliwa na mungu ama kwa hakika alipendeza sana siku hiyoaliweza mzidi hata Irene ambaye ndie alikuwamuhusika mkuu juu ya sherehe hiyo.
Haikuwa rahisi kumtambua msichana yule kwaharaka japo wengi walizoea kumuona kwenyeruninga na katika macasino mbalimbali akitumbuizaila kwa siku hii ili iliwawia vibaya. Ukumbi ulikuwakimya kumtazama malikia yule akipita katikati yaohakuna aliyethubutu kusema chochote wote walikaakimya na kumtazama ni wapi anaenda kuketi.Wakati huo geb alikuwa katika chumba ambachoalikuwemo mtarajiwa wake irene wakishauriana ninn wafanye maana muda ulikuwa tayari ushapitakaribuni dakika 45 lakini matumainihayakuwepo.
Ghafra Geb alishitushwa na ukimyauliokuwepo ndani ya ukumbi kutoka akakutana anakwa ana na Angle aliyekuwa akionekana kujawa nahuzuni kubwa ndani ya macho yake ijapokuwa usowake aliupamba vyema na tabasamu bandia kiasikama aujamzoea atajua ni kawaida yake kuwa vilealivyo,jambo hilo kwa geb halikufichika aliwezakugundua huzuni aliyokuwa nayo Angle kwakumtazama macho yake ambayo yalijitengenezavyema machozi yaliyokaribia kutaka kufunika mboniza macho yake na kuangukia mashavuni ghafraakayawahi na kitambaa chke cha mkononi nakusogea pembeni kidogo ya ukumbi ,Geb akuwezakukubali kumuona Angle akilia peke ake bila yayeye kuhisi ni maumivu kiasi gani aliweza kuyapatarafiki yake yule,yapata mwaka na nusu sasa tangugeb kujuana na angle.
Katika moja ya sehemu ambazo Geb alipendakwenda kujipumzisha na kwaajili ya kutuliza akilimara tuuu baada ya kutoka kayika mihangaiko yake, Ila haikuwahi kutokea kwa wawili hawa kuongeleakuhusu maisha yao kuwa ni wapi wametoka na wapiwanaenda ilikila mmoja aweze kumjua vizurimwenzake ila kwa upande wao hakukuwa naumuhmu wowote na kujipq imani watazoeana nakujuana zaidi kadri siku zinavyozidi kwenda.
Siku moja angle alipewa mualiko wakutumbuiza katikamoja ya casino kubwa mjini arusha,Ndipo ambapoGeb aliweza kushuhudia uhodari wanmwanadadayule akiwa jukwaani akiimba na kucheza yeye piaalikuwa ni miongoni wa mashabiki wazuri wamwanadada angle siku hii alipata kumuoona libealipenda kujenga ukaribu naye kama rafiki bila kujuaalikuwa akitonesa kidonda cha angle ambacho kwambali kilianza kukauka na muziki kuwa ndio sehemuya maisha yake na kuwani rafiki mkubwa kwakeambaye aliweza muondolea mawazo yote na kiasiakawa mwenye kufungua kurasa mpya ya maishayake, alijisemea moyoni huku bado akimtazama Gebmachoni ambaye bado alikuwa akisubiri kwa hamukujua tatizo alilokuwa nalo angle"Merisa! Merisa, jini mwitu wewe ndie chanzo chahaya yote wew ndio chanzo cha chozi langu leo hiikuanguka merisa wewe ndio chanzo cha mimikuhisi maumivu ya mapenzi wewe ndo chanzo chamisukosuko yote ya maisha yangu merisa. Aaaaaaaaah,,,,,,,,,,sijuihata niwapi nitaaanziakumueleza geb na kumfanya anielewe kuwa mimindie yule anna wake aliyeniahidi mambo mengilakini haya kutimia baada shetani mwitu kuingiliapendo letu".