Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 7,925
- 16,208
Mimi sijui, nimekopi na kupestKatika bunduki hii ndo bunduki sasa..wapi naweza ipata?
Mkuu njoo hapa lugalo uandike maelezo ukifuta taratibu zote utapewaKatika bunduki hii ndo bunduki sasa..wapi naweza ipata?
Rate of fireNiliwahi kutumia/kupiga MP5 nikiwa National Service, risasi zinawekwa kwenye magazine sikuwahi kuona mkanda wa risasi unawekwa kwenye MP5 - sina uhakika kama sifa zinazo tolewa hapa zina ukweli wowote - nilipiga full burst lakini it didn't register to me kwamba ina uwezo wa kupiga risasi 15 per second!!
Unless kama kuna MP5 series nyingine hapo sawa, lakini ungesema labda bunduki aina ya UZZI ndiyo yenye uwezo kama huo hapo ninge kubaliana nawe.
Mkuu National Service ulipigia Israel au wapi wanakotumia MP5?Niliwahi kutumia/kupiga MP5 nikiwa National Service, risasi zinawekwa kwenye magazine sikuwahi kuona mkanda wa risasi unawekwa kwenye MP5 - sina uhakika kama sifa zinazo tolewa hapa zina ukweli wowote - nilipiga full burst lakini it didn't register to me kwamba ina uwezo wa kupiga risasi 15 per second!!
Unless kama kuna MP5 series nyingine hapo sawa, lakini ungesema labda bunduki aina ya UZZI ndiyo yenye uwezo kama huo hapo ninge kubaliana nawe.
Alikua UrusiMkuu National Service ulipigia Israel au wapi wanakotumia MP5?
Hapo sawaAlikua Urusi
umeambiwa inatumiwa na makomando wa Dunia wewe utaipata wapiNiliwahi kutumia/kupiga MP5 nikiwa National Service, risasi zinawekwa kwenye magazine sikuwahi kuona mkanda wa risasi unawekwa kwenye MP5 - sina uhakika kama sifa zinazo tolewa hapa zina ukweli wowote - nilipiga full burst lakini it didn't register to me kwamba ina uwezo wa kupiga risasi 15 per second!!
Unless kama kuna MP5 series nyingine hapo sawa, lakini ungesema labda bunduki aina ya UZZI ndiyo yenye uwezo kama huo hapo ninge kubaliana nawe.
Uzi au Ingram zina uwezo huo pia.Niliwahi kutumia/kupiga MP5 nikiwa National Service, risasi zinawekwa kwenye magazine sikuwahi kuona mkanda wa risasi unawekwa kwenye MP5 - sina uhakika kama sifa zinazo tolewa hapa zina ukweli wowote - nilipiga full burst lakini it didn't register to me kwamba ina uwezo wa kupiga risasi 15 per second!!
Unless kama kuna MP5 series nyingine hapo sawa, lakini ungesema labda bunduki aina ya UZZI ndiyo yenye uwezo kama huo hapo ninge kubaliana nawe.
National service ya nchi gani inayotumia hiyo? mimi nadhani ulitumia AK 47.Niliwahi kutumia/kupiga MP5 nikiwa National Service, risasi zinawekwa kwenye magazine sikuwahi kuona mkanda wa risasi unawekwa kwenye MP5 - sina uhakika kama sifa zinazo tolewa hapa zina ukweli wowote - nilipiga full burst lakini it didn't register to me kwamba ina uwezo wa kupiga risasi 15 per second!!
Unless kama kuna MP5 series nyingine hapo sawa, lakini ungesema labda bunduki aina ya UZZI ndiyo yenye uwezo kama huo hapo ninge kubaliana nawe.
unataka kumfyatua naniKatika bunduki hii ndo bunduki sasa..wapi naweza ipata?
Dah... Shabaha nzuri? Ulenge Shabaha mara 900 kwa dakika.... mara 15 kwa sekunde...hata malaika hawezikwa hiyo ukiwa na shabaha nzuri ndani ya dakika unaua watu 900....duh wazee wakisikia mtaani kwenu kuna mtu ana mtutu kama huo hawatimbi kijinga jinga