Ulishawahi kwenda katika media ukaita Magu au unasema kwakuwa unajisikia kusema Rais ni Taasisi hivyo kumuita Rais Bwana flani imekaa sawa kweli?hata kama?Mbona sisi tunamuitaga Magu bila hata kuweka dr tusipende kukuza mambo madogo
kitendo cha kuita Rais wa nchi Bwana
ni vizuri ukaweka wazi hizo biashara zake kuliko kuwasadikisha uwongo jamii kwa chuki zako binafsi,Dogo alikuwa na biashara nyingi za kukwepa kodi, alishaisoma namba siku nyingi tu.