Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,238
- 4,808
Mhiii huyu huyu aliyefukuza watu pale nchicha na kuweka bandari yake kavu immediately baada ya Magufuli kufariki
Mchawi anapiga vita uchawi
Aanze na baba yake kwanza
Huenda anawaasa wanaomwibia yeye na mzazi wakehuyuu akae zake kimyaa. RIZ ONE na UADILIFU wapi na wapi.
Ngada vp hailipi tena sk hz? Hii ni familia ya majizi. Nyerere alimshtukia babaye zamani!
Ridhwan unaweza kuwa unaongea Kiswahili lakini wengi hawakuelewi.
Unaelewa maana ya neno "uadilifu"?Ukistaajabu ya musa utaona ulaghai wa tabasamu la familia ya msoga.