Rich Gang; Huyu Ndo Jack Pemba Bwana

cc12

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
1,018
395
Anajulikana Kama Jacky Pemba alikuwa akiishi Bongo Zaman Akina Fm Academia Akina Bella na Bendi yake wamezifaidi hela zake sana Huyu Jamaa kiufupi ni tajiri (Nasikia utajir wake umekuja kutokana na Black Market sina hakika nimesikia watu wakisema).

Feb 5 mwaka huu ilikuwa ni siku ya Birthday Yake Gues What sasa kamleta Koffie Olomide Awe Mtumbuizaji Jamani Hela ni Nzuri Hizi ni Baadhi ya Picha kutoka kwenye Birthdaya Yake....









Kwa Mbwebwe nae kama Ikina Ivan wa Zari


Credit; Matokee Republic
 
Kwani sasa hvi anaishi wapi huyu jamaa? Na je ni raia wa tanzania? Na huko anakoishi anafanya nn?
 
Kwani sasa hvi anaishi wapi huyu jamaa? Na je ni raia wa tanzania? Na huko anakoishi anafanya nn?

Hawa kina pemba wazazi wao hawana asili ya Tz hawa kama sio wamalawi ni wazambia sikumbuki vizuri...kule mtaani upanga walikua wanajulikana hivyo sio wa Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…