Rice cooker 1.8 l itaweza tumia umeme wa units 14 sawa na 5000 kwa siku 30

Lexus SUV

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
4,427
5,499
HABARI WANDUGU

NAPENDA ULIZIA MATUMIZI YA RICE COOKER YA 1.8L , IKIWA INAPIKIWA MCHANA NA USIKU YAANI INATUMIKA MARA 2 KWA SIKU , JE UMEME WA 5000 UTAFAA KWA SIKU 30 ?

AU NI KUBWA SANA , MAANA NAHITAJI SET BUDGET YA KI GHETO GHETO .....
 
angalia iyo cooker ina Watts ngap kwanza ?
 
Nyingi zina watts 700 izo, kama inapika mara 2 kwa siku tu assume unatumia dakika 45 45 kwa io mara mbili ni lisaa na nusu

700watts*1.5hours unapata 1050watts hapo kwa kwa siku Moja

1050w*30=31500watts=31.5 watts kwa mwezi....
umetisha
 
IKO GOOD SANA KUMBE UMEME UNAOTUMIKA NI ZAIDI YA 5000TSH KWA RICE COOKER YA 1.8L 700 W
 
HABARI WANDUGU

NAPENDA ULIZIA MATUMIZI YA RICE COOKER YA 1.8L , IKIWA INAPIKIWA MCHANA NA USIKU YAANI INATUMIKA MARA 2 KWA SIKU , JE UMEME WA 5000 UTAFAA KWA SIKU 30 ?

AU NI KUBWA SANA , MAANA NAHITAJI SET BUDGET YA KI GHETO GHETO .....
Nunua pressure cooker ufurahie maisha. Utapika wali, makande, maharagwe, nyama n.k
6.1 L ni 130k
 
HABARI WANDUGU

NAPENDA ULIZIA MATUMIZI YA RICE COOKER YA 1.8L , IKIWA INAPIKIWA MCHANA NA USIKU YAANI INATUMIKA MARA 2 KWA SIKU , JE UMEME WA 5000 UTAFAA KWA SIKU 30 ?

AU NI KUBWA SANA , MAANA NAHITAJI SET BUDGET YA KI GHETO GHETO .....
Dogo ulisoma Physics?
 
Back
Top Bottom