Dennis Roberts
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 612
- 759
Kama kisemavyo kichwa cha habari riba za benk za kibiashara hazitakiwi kuzidi asilimia 5 hii itachochea ukuaji wa uchumi kwa sababu mikopo itapatikana kwa bei nafuu faida za mikopo kuwa na riba ndogo
- Kuongeza mzunguko wa fedha
- Kuondoa hofu ya kukopa ambayo wanayo watu wengi
- Kuongeza ajira
- Kuongeza kipato cha mtu mmoja mmoja
- Kuongeza kodi serikalini