Reserve tank ya Noah Old Model cc1990 ni lita ngapi?

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Apr 21, 2015
1,563
3,312
Wadau niende moja kwa moja kwenye mada,baada ya taa ya low fuel kuwaka,je noah old model reserve tank yake ni lita ngapi? au inaweza kutembea km ngapi ndo gari izime..
 
wadau niende moja kwa moja kwenye mada,baada ya taa ya low fuel kuwaka,je noah old model reserve tank yake ni lita ngapi? au inaweza kutembea km ngapi ndo gari izime..
Hapo ni kuongeza mafuta tu.. Achana na habari ya kusubiri mpka gari izime, kuna siku nimeumbuka barabara ya kimara tena ilikuwa folen ya saa 2 usiku.

Siku hizi sifanyi tena hilo kosa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom