OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 51,696
- 113,358
Ngoja tusubiri tuoneKatika kila mechi za dabi Yanga imekuwa ni timu ya kupigwa faini kwa tabia za kugoma kupitia geti kuu. Ni wazi hayo yamekuwa maelekezo ya waganga mbalimbali wa Yanga.
Mchezo uliopita Yanga ilipigwa faini ya shilingi Milioni tano na Shirikisho la Mpira wa Soka Tanzania(TFF) kwa kosa la kuingia chumba cha kuvalia nguo kwa kutumia mlango ambao sio rasmi kuelekea mchezo wao wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Simba.
Mwaka juzi Klabu ya Yanga ilipigwa faini ya shilingi milioni 3 kwa kukiuka taratibu za mchezo vs Simba Sc ikiwemo kuvunja mageti na kufuli za mageti husika wakati wa timu kuwasili.
Orodha ni ndefu wasinichoshe. Idadi ya waganga pia ni excel nzima.
Tusubiri jumapili sijui safari hii watavunja nini, au watapita juu?!
naona mmeanza kutafuta visingizio......Katika kila mechi za dabi Yanga imekuwa ni timu ya kupigwa faini kwa tabia za kugoma kupitia geti kuu. Ni wazi hayo yamekuwa maelekezo ya waganga mbalimbali wa Yanga.
Mchezo uliopita Yanga ilipigwa faini ya shilingi Milioni tano na Shirikisho la Mpira wa Soka Tanzania(TFF) kwa kosa la kuingia chumba cha kuvalia nguo kwa kutumia mlango ambao sio rasmi kuelekea mchezo wao wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Simba.
Mwaka juzi Klabu ya Yanga ilipigwa faini ya shilingi milioni 3 kwa kukiuka taratibu za mchezo vs Simba Sc ikiwemo kuvunja mageti na kufuli za mageti husika wakati wa timu kuwasili.
Orodha ni ndefu wasinichoshe. Idadi ya waganga pia ni excel nzima.
Tusubiri jumapili sijui safari hii watavunja nini, au watapita juu?!
Watakuvunja weweKatika kila mechi za dabi Yanga imekuwa ni timu ya kupigwa faini kwa tabia za kugoma kupitia geti kuu. Ni wazi hayo yamekuwa maelekezo ya waganga mbalimbali wa Yanga.
Mchezo uliopita Yanga ilipigwa faini ya shilingi Milioni tano na Shirikisho la Mpira wa Soka Tanzania(TFF) kwa kosa la kuingia chumba cha kuvalia nguo kwa kutumia mlango ambao sio rasmi kuelekea mchezo wao wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Simba.
Mwaka juzi Klabu ya Yanga ilipigwa faini ya shilingi milioni 3 kwa kukiuka taratibu za mchezo vs Simba Sc ikiwemo kuvunja mageti na kufuli za mageti husika wakati wa timu kuwasili.
Orodha ni ndefu wasinichoshe. Idadi ya waganga pia ni excel nzima.
Tusubiri jumapili sijui safari hii watavunja nini, au watapita juu?!
Ahahajhaj
Unamshangaa yanga na kushindwa kumshangaa aliyerudi Kinyumenyume na basi lenye wachezaji kutoka mbezi hadi temeke kwa Mkapa.Yanga ni aibu ya taifa.
Na wasivyo na aibu, J'2 tena watafanya tukio la kujifedhehesha hadharani kwa matumaini ya kumfunga UTO.
Watu waliingia kwa makalio bado wakachezea sembuse kubadili mlango.naona mmeanza kutafuta visingizio......
Subiri match, kuingia uwanjani hata kwa helicopter hakubadilishi matokeo
πππ Bado ile siku waliyorudi kinyume nyume, halafu mwarabu akawapiga goli 3 pale kwa Mkapa hatoki mtu!