OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,949
- 117,872
Katika kila mechi za dabi Yanga imekuwa ni timu ya kupigwa faini kwa tabia za kugoma kupitia geti kuu. Ni wazi hayo yamekuwa maelekezo ya waganga mbalimbali wa Yanga.
Mchezo uliopita Yanga ilipigwa faini ya shilingi Milioni tano na Shirikisho la Mpira wa Soka Tanzania(TFF) kwa kosa la kuingia chumba cha kuvalia nguo kwa kutumia mlango ambao sio rasmi kuelekea mchezo wao wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Simba.
Mwaka juzi Klabu ya Yanga ilipigwa faini ya shilingi milioni 3 kwa kukiuka taratibu za mchezo vs Simba Sc ikiwemo kuvunja mageti na kufuli za mageti husika wakati wa timu kuwasili.
Orodha ni ndefu wasinichoshe. Idadi ya waganga pia ni excel nzima.
Tusubiri jumapili sijui safari hii watavunja nini, au watapita juu?!