Wakuu habari,nimejaribu kutengeneza php reg form, pia niwetengeneza database yenye table na field zote kama
nilizo create ktk forms. sasa nashindwa kutengeneza connection ili mtu akishajaza ile form,data ziende ktk db nilizocreate.afu pia ziweze kuonekana ktk page ya user panel. Natumia xamp server