Habari ndugu wana Jf ni juzi tu nilitoka kuomba msaada wenu kuhusu external hard disk nashukuru kwa msaada wenu niliweza kutatua tatizo hilo sasa tatizo linakuja kwenye ku recovery data zilizokuwemo kwa kutumia software zifuatazo
1.AESEUS RECOVERY
hii software inazisoma data zote zilizo kuwemo ila tatizo inatoa 1GB tu ya ku recover wakati mimi data zangu ni 250GB 2.RECUVA RECOVERY
Software hii ina niandikia "fail to determine file type" yaani haisomi chochote
3.PANDORA RECOVERY
hii ndo bomu kabisaa maana ina scan kuanzia asubuhi hadi jioni haipati file hata moja
HIVYO NAOMBENI MAWAZO YENU NITUMIE SOFTWARE IPI ILI NIWEZE KUREJESHA DATA ZANGU? NA NI VIPI NAWEZA KU UPGRADE AESEUS SOFTWARE MAANA INAZIPATA DATA ZOTE KWA MUDA MCHACHE
ASANTENI