Ndugu zangu wakenya nyie ni wazoefu wa huu mchezo wa sportpesa, naomba mnipe ABC za mchezo huu:-
1. Utaratibu wake ukoje, jinsi ya kucheza
2. Ukishinda unalipwaje na inachukua muda gani kulipwa
3. Mambo ya kuzingatia wakati wa kushiriki
4. Kama kuna fomu ya kujaza naomba mfano wa fomu hiyo
1. Jambo lingine lolote ambalo mtapenda tupeane uzoefu