GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,044
- 119,619
Wafanyabiashara wa Kariakoo, Dar es Salaam waliogoma kufungua maduka tangu juzi, Juni 24,2024 wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutoka hadharani na kutoa tamko.
Wametoa maombi hayo leo Jumatano Juni 26, 2024 baada ya kufanya kikao na mwenyekiti wao na kuonekana kutoridhishwa na tamko alilolitoa.
Mgomo wa wafanyabiashara hao umeingia siku ya tatu leo, huku kilio chao kikubwa kikiwa kuilalamikia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa tozo mbalimbali.
Chanzo: mwananchi_official
Kila Siku nikiangalia tu Clips zako ukiongea kuhusu Wafanyabishara wa Kariakoo nakuona Ukifoka hovyo kama Mlevi wa Gongo Chafu Tandale Uzuri, ila sioni au sikuoni kabisa ukizielezea Changamoto zao ambazo GENTAMYCINE nimezisikiliza na kuona zina Mashiko na ni kama vile mnataka Kuwaonea na Kuwakomoa.